Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.
Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani yangu ananipa taabu sana. Nikirudi tu gheto, huyu hapa kaka hujambo, mbona mpweke sana, nikupe kampani. Mara ooh nyie watu wa Tanga mko vizuri, mara kaka unaonekana mwingi wa mahaba.
Nimeshamuonya mara kadhaa kuwa huo mtego wake utamletea maafa hasikii. Ni mama mzuri na hajazaa bado. (actually amefungasha vizuri). Hofu yangu naona kama uzalendo unafikia mwisho sasa.
Nifanyeje jamani?