Hivi ni umri gani unafaa mtoto kuacha kulala chumbani kwa wazazi?

masanzu

JF-Expert Member
May 6, 2013
605
216
Habari wanajamvi,

Leo rafiki yangu yamemfika ana watoto wake wawili mmoja ana umri wa miaka 4 wingine ana umri wa mwaka na nusu hivi.

Huwa analala nao chumbani kwake yule mkubwa analala kwenye kitanda chake wao wanalala kitanda kimoja na huyu mdogo.

Sasa usiku wa leo jamaa kaamsha kitu cha alfajiri hivi, sasa wakiwa katika mambo yetu yale bahati mbaya waka mgonga dogo akalia mama akambembeleza akatulia akalala.

Wakaaza tena ile mzee baba kapanda tu akasikia sauti ikitokea kwenye kitanda anacholala kaka mtu akimwita mdogo mtu Amosi, Amosi njoo huku watakuumiza tena wenzako wameanza tena mchezo wao.

Mzee jibaba kitu kilinywea kikabaki kama kibamia.

Ndiyo maana nikauliza umri upi haufai mtoto kulala chumba kimoja na wazazi?
 
Imefanana na story ya kutunga. ILA simaanishi umetunga.
Kikawaida mtoto hatakiwi kulala kitanda kimoja na wazazi wake kabisa. Anatakiwa awe na kitanda chake akiwa mchanga na akiwa mkubwa 2 year nk awe na chumba chake.
 
Yaani nimecheka duuuh, eti " Amos, Amos njoo huku watakuumiza tena wenzako wameanka tena mchezo wao" hahahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom