Ya Leo Leo..... Nimekubalie? ?!!

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,234
36,261
Habari za jioni waungwana.

Leo mchana nilitoka kwenda ofisi flani hivi, ni eneo la kutembea kwa miguu, nikiwa kwenye hiyo ofisi hamadi nikakutana na huyu mbaba. .... tulifahamiana miaka hiyoo wakati tuko vijana.

Sasa huyu baba mie nilimpenda sana kipindi hicho tuko waschana, ila yeye akawa ananivalia miwani myeusi. Mie na aibu zangu nikawa namezea nisubiri siku anitongoze mweeh. Hapo kati nikiwa nasubiri anianze yeye akatokea mschana flani hivi huyo mschana ni mchangamfu wale ambao alienda mahali kama ni mgeni basi dakika 10 zinazokata anakuwa mwenyeji, ni muongeaji mnoo. Huyu mschana nae alimpenda mbaba niliyempenda wakati huo ila yeye hakulaza damu akamwambia kisha wakaanza kuwa karibu. Mie roho ikaniuma nikaondoka eneo nililokuwaa naishi ili nisiwaone.

Miaka chungu tele imepita leo ndo tumekutana tena yeye ndo alinikumbuka, Kasie habari yako.... hubadiliki uko Vilevile na sura yako tangu kaschana nikacheka kisha tukasalimiana. Baada ya salamu akaniomba tukishapata huduma hapo anahitaji kuongea na mimi. Nikamwambia sawa......

Kufika eneo la tukio ananikumbushia mambo ya miaka ile kuwa aliona vile nampenda ila akiwa anataka kuniambia akatokea yule mschana akambana. Hivo anaomba tuendeleze mahaba yetu maana hata yeye hadi sasa yuko singo.... looh

Nikamwambia mambo hayo.mie nshaacha. ... akasema tuwahi kurudi mahala pa kazi ila sikiliza huu wimbo tafadhali.

Kaomba kesho tuonane tuyajenge. .... hapa nautafakari huu wimbo.....

Hajui Kasie amekuwa jasusi wa mahaba hehehehee shauri yake looh.

Kasie Matata.
 
hahaha homie amekua jasusi......shauri yake awe makini asije akatekwa na Matata/Mahaba ya Kasie

Wimbo wa muda lkn mzuri sana.

Hahahahaaa homie, kiukweli nahisi ntamteka halafu nimuache solemba.

Yeah Marlow alisababisha miaka ile..... kuna huu pia jamaa kanirushia mida hii anaomba nisimnunie zaidi kwani tangu tupotezane ni kama nilikuwa nimemnunia.

Jasusi wa Mahaba

Kasie.
 
hahaha haya jasusii
Mission hiyo uimalize mapema na kwa ushindi kabisa...nasubiri report tu mm.
 
Sawa akija mzimishe kabisa kama bonge wa Demiss

Aaah mie damu imegandaa sana sana mie ndo ntazimia. Ili mtu azimie ma-stylee ya Gudume yanatakiwa yatumike, sasa na uzee huu zaidi ya mende sina jipya.... hehehe.

Mbwa, majani ya chai ya kipakti, kuendesha farasi n.k. vyote hivyo nawaachia vijana wapambane na nyonga zao.
 
hahaha haya jasusii
Mission hiyo uimalize mapema na kwa ushindi kabisa...nasubiri report tu mm.

Mission za Kasie banaa... ntaimaliza tuu hahahahahaa wewe ntakupa mrejesho kwenye sanduku lako la barua.

Jasusi wa Mahaba

Kasie Matata.
 
Habari za jioni waungwana.

Leo mchana nilitoka kwenda ofisi flani hivi, ni eneo la kutembea kwa miguu, nikiwa kwenye hiyo ofisi hamadi nikakutana na huyu mbaba. .... tulifahamiana miaka hiyoo wakati tuko vijana.

Sasa huyu baba mie nilimpenda sana kipindi hicho tuko waschana, ila yeye akawa ananivalia miwani myeusi. Mie na aibu zangu nikawa namezea nisubiri siku anitongoze mweeh. Hapo kati nikiwa nasubiri anianze yeye akatokea mschana flani hivi huyo mschana ni mchangamfu wale ambao alienda mahali kama ni mgeni basi dakika 10 zinazokata anakuwa mwenyeji, ni muongeaji mnoo. Huyu mschana nae alimpenda mbaba niliyempenda wakati huo ila yeye hakulaza damu akamwambia kisha wakaanza kuwa karibu. Mie roho ikaniuma nikaondoka eneo nililokuwaa naishi ili nisiwaone.

Miaka chungu tele imepita leo ndo tumekutana tena yeye ndo alinikumbuka, Kasie habari yako.... hubadiliki uko Vilevile na sura yako tangu kaschana nikacheka kisha tukasalimiana. Baada ya salamu akaniomba tukishapata huduma hapo anahitaji kuongea na mimi. Nikamwambia sawa......

Kufika eneo la tukio ananikumbushia mambo ya miaka ile kuwa aliona vile nampenda ila akiwa anataka kuniambia akatokea yule mschana akambana. Hivo anaomba tuendeleze mahaba yetu maana hata yeye hadi sasa yuko singo.... looh

Nikamwambia mambo hayo.mie nshaacha. ... akasema tuwahi kurudi mahala pa kazi ila sikiliza huu wimbo tafadhali.

Kaomba kesho tuonane tuyajenge. .... hapa nautafakari huu wimbo.....

Hajui Kasie amekuwa jasusi wa mahaba hehehehee shauri yake looh.

Kasie Matata.
Kwa hiyo kesho unaweza mpa kitumbua chako
 
Back
Top Bottom