Wanawake ndio mnaifanya dunia iwe hivi

Wanawake ndio mnaifanya dunia iwe hivi

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,676
Hebu fikiria Dunia bila wanawake/ mabinti ingekuwaje?
Magereza yasingekuwepo.
Wengi waliopo jela wamwfungwa sababu ya kuwaridhisha wanawake zao kifedha. Kuna walioiba, waliopora, waliotapeli, walioua kwa ajili ya mapenzi, Na wenye maovu mengine mengi ambao chanzo kilikuwa ni wanawake.
Mitindo Na fashion houses zisingekuwepo
Hawa kina Channel, Gucci Na wengine wangekuwa labda ni wapasua mbao za kujengea.
Pia vitu kama poda, wanja, Na vinginevyo vingi visingekuwepo.
Maendeleo ya Dunia hii yameletwa Na mwanamke
Bila wanawake magari ya kifahari yangekuwa ya kazi gani?
Kila kitu kizuri kipo kwa ajili ya mwanamke.
Wanawake ndio wanunuaji wakubwa wa bidhaa zote. Wananunua chakula kwa wingi kuliko uwezo wao wa kula
Wananunua nguo Na viatu kwa wingi Na bado hawaridhiki,
Ukitaka utajirike haraka uza bidhaa kwa ajili ya wadada.
Hawa ndio wameifikisha Dunia hapa ilipo. Wao Ndio chanzo cha uchungu Na chanzo cha utamu pia.
Shikamoo wanawake, hasa rafiki yangu kipenzi Miss Natafuta Bujibuji
 
ILI IWE NZURI AND TO FEEL GOOD, KWANINI USINGESEMA MAMA YANGU NI MMOJA KATI YA WANAOSABABISHA MAMBO YAWE HIVI DUNIANI?!?
 
kama sio wanawake kusinge kuwa na kifo,tungekua eden na tungeishi milele
 
Ni kweli wanawake ni maua ya dunia ndio wanaoleta furaha duniani wanafanya wanaume wafurahie maisha au wasifurahie.kweli wanawake ni jeshi kubwa kila mmoja akisimama kwenye nafasi yake dunia inabarikiwa maana hata Mwenyenzi Mungu anasikiliza mwanamke sana
 
Aiseee wacha nikupe soda unajua wanaume kununua magar ni kwa sababu ya wanawake kurahisisha usafir wa kufata tumbua bila hivyo wallah wasingenunua
halafu si mmerogwa kwenye magari nyie......
Hata nikija na gari la Kubenea maiti ili mradi unakaa, Basi kwako burudaaaaaaaani
 
Mungu anawaoneeni huruma kwa kuwa nyie ni viumbe dhaifu.
Mnavua chupi kwa chips mayai, mwingine kwa lift ya gari la ofisi, yaani ili mradi tu hamjielewi kabisaaaaaa.
 
Bila Mwanamke(Eva), Mwanaume (Adam) asingekuwepo!?.
Bila Mwanaume (Adam) Mwanamke ( Eva) asingekuwepo!?.
 
Back
Top Bottom