Hivi Adam na Hawa(Eva) baada ya kutambua kama wamekua mke na mume Adam alimlipia mahari Hawa. Na kama alilipa alimlipa nani. Na kama hakulipa Je utaratibu wa kulipa mahari ulitoka wapi?
Sheria za mungu muweza ..hutofautiana kulingana na umma na umma ...lakin msingi wake ni mungu mmoja tu...
Mfano watoto wa adam walioa dada zao sasa hv si ruksa kuoa dada yako wa tumbo moja .
Wayahud waliabiwa kwenye injil(ambacho kitabu sahihi cha mungu ) kuwa wasiganye kazi siku ya saba ....lakin sasa hv ruksa kufanya kaz siku zote .
Watu wa musa(wayahud) walikatazwa kula baadhi ya vitu lakn ss tumeambiwa tule ...
Mwisho zaman watu waliruhusiwa kuoa waawake wapendavyo ..lakin sasa mwisho wa nne kama huwez kuwa muadilifu na kipato kidogo mmoja only .....
Nyongeza tuu, utaratibu ulichipua zaidi enzi ya wana wa izrael, kama utakumbuku vzr yakobo alifanya kazi nyumbani kwa mkwewe miaka 14 ili ampate mkewe.
Hivi Adam na Hawa(Eva) baada ya kutambua kama wamekua mke na mume Adam alimlipia mahari Hawa. Na kama alilipa alimlipa nani. Na kama hakulipa Je utaratibu wa kulipa mahari ulitoka wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.