Natafuta rafiki ambae amesoma I. T vizuri especially kwenye software

Natafuta rafiki ambae amesoma I. T vizuri especially kwenye software

Jeny faraji

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
164
Reaction score
34
Habari wana jf natafuta rafiki ambaye amesoma I. T vizuri especially kwenye mambo ya software kuna mambo nataka anielekeze, so kama una ujuzi huo ni pm
 
I'm just joking ,repost post yako kwenye jukwaa la tech& science au jukwaa la elimu utawapata wataalam wengi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana sio assignment ni mambo tu mengne mengne ila sihitaji kila mtu ayajue
Haya Jeny, kila la heri! Ingekuwa hapa ningesaidia ila huko mafichoni wasubiri waje...
 
Ungeweka wazi tu tatizo lako tupo wengi tungekusaidia but mpaka kupm duu hapana.
 
Software au hardware pale kinondoni kuna duka kubwa la ujenzi. [emoji4] [emoji377]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom