Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,074
- 5,863
Hapo vip!!
Nimekaa sana nikafikiri na kujiuliza na kufanya research juu Ya tuhuma za udhaifu dhidi Ya wanaume mahandsome na pretty girls lakini ukweli ni kwamba ni wivu kwa wanawake wabaya na wanaume wabaya ili kutafuta namna Ya wao kuonekana bora kuliko mahandsome na pretty girls.
Tuhuma kwa mahandsome.
-wavivu kwenye mgegedo.. Uwongo mtupu..embu nionganishie demu wako atakuja kukusimulia.
-Empty upstairs.. vyuoni kulikuwa na mahandsome wakutosha.
-Ni malaya.. Sio kweli.
Pretty
Ni malaya.. Sio kweli,wanatongozwa sana kwa sababu Ya uzuri wao.
-empty up stairs.. Sio kweli vyuoni kunawarembo wengi.
Halafu wanaongoza sana kuwatuhumu hawa watu ni waafrika coz waafrika huwa hawapendi vitu vizuri.
-