Habari za majukumu wakuu.
Kama mada inavyojieleza hapo juu, siku za nyuma nilileta mada yangu inayohusiana na mrejesho wa mada yenyewe.
Kiukweli hawa viumbe wana tabia ya kutupima sana sisi...
Baada ya kuchoka usingle mother nimeona is not funny nahitaji mume jamani.
08/09 natimiza 29, kimo f 5.5 primary teacher, mtoto mmoja, am black beauty, mcheshi na vurugu nyinginyingi ha ha haaa...
Jukwaa hili lililenga zaidi kuiimarisha jamii kwenye masuala ya ndoa, uchumba au mahusiano. Rakini ukisoma asilimia zaidi ya 90 ya thread humu zianachochea, zinashawishi na kusifia uzinzi...
Punguza marafki ambao ukimwambia nataka kufanya hiki, anakujibu utaweza?
Punguza marafki ambao kutwa anataka mchafue meza bar
Punguza marafki ambao kila wiki ni ngoma
Punguza marafki ambao...
Kamvua na kaubaridi haka hapa jijini Dar kamenifanya leo nitamani gahawa. Wakati napata kikombe changu cha kahawa imenijia kumbukumbua ya babu yangu na rafiki yangu. Ni mdogo wake babu aliemzaa...
Mi mwanamke mwenye mwili mgumu sinaga stimu naye, mwanamke inatakiwa ukimgusa kama unagusa nyama ya konokono yaani softi, ukigusa titi linabonyezeka (ila isiwe ndala tu), matiti mengine magumu...
Wadau wote wa JF natumai ni wazima wa afya,
Binafsi kila mtu anayo malengo yake aliyojiwekea na muda wa kuyatimiza. Malengo yangu yametimia na sasa nahitaji mke ili kujenga familia imara yenye...
Mtu kwa Hekima zako tu ulizopewa na Mwenyezi Mungu unakuwa ' mpatanishi ' mzuri wa Ndoa za Watu au Mahusiano ya Watu ukidhani kuwa unawasaidia kumbe hapo hapo tena Wewe uliyepoteza muda wako na...
Hapa namaanisha unalala naked kabisa bila boxer, kwa kina mama huwa ni kawaida yao kulala hivo tena wanapenda kulala ukutani nalo sijui ni kwanini wanapenda hivo.
Hoja kuu ni mwanaume rijali...
Wasalaam! Wapendwa Ni Movie Gani Ya Mahusiano,mapenzi Ambayo Umeshawahi Kuiangalia Ikakuvutia Na Huchoki Kuitizama Tena?
Kwa Upande Wangu Ni PASSION OF LOVE{ NIGERIA MOVIE} AND THE PROMISE.
Haya haya ni weekend !!
Wanaume mnaobadilisha magar kwa week moja mtu amepita na magari ya aina tofauti mna matatizo gani?
Leo anakuja na Prado kesho Toyota keshokutwa kispashoooooo mtondogooo...
Ushauri kwa wale wanaofikiri mwili unaridhika;
Hii ni kwa wale :-
...Wanaofikiri wakioa/kuolewa wataridhisha miili yao kimapenzi, la hasha -mwili hauridhiki kamwe.
...Kwa wale wanaofikiri...
Ukitaka kujua kama kweli mwanamke uliyemuoa, (haijalishi umeshazaa naye au la) ni mwaminifu na anakupenda kweli kweli ,basi ni kupitia jela, ;
Siku ikitokea umehukumiwa kifungo cha miaka kadhaa...
Hapo vip!!
Wadau katika tafiti zangu na uzoefu nikiwa nasoma secondary, nimegundua wasicha wa wenye umri chini Ya 22 tu wengi wanakuwaga na upendo wa dhati na niwaaminifu kwa wapenzi wao...
Nawasalimu nyoote!!
Bila kupoteza muda naomba nianze kutoa experience mbili ambazo baada ya kuzipitia nikasema wacha nishare na wenzangu ili tuendelee kuimarisha mahusiano yetu na wenza wetu...
Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda na kila nikienda mtaan kwao huwa ananishobokea kusema ananipenda. Nikaamua kuchukua namba yake na kumuuliza kweli unanipenda akasema ee...