Natafuta Mchumba/Mume

M04

Member
Apr 6, 2018
6
6
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
 
Duh mimi darasa la saba huwezi kunifikiria? I'm super street smart.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Hivi Degree ktk mapenzi inaongeza au kupunguza nini??
 
Vigezo vya kusema awe na elimu vinawafanya mkose wachumba

Ukumbuke anae hitaji kuoa anaweza kuwa darasa la wengi na akawa na uhitaji wa mke ila ukapishana kwa kuwa unataka mwenye digree
Kiukweli hapa ndio kasoro zao zinapojidhihirisha wadada watafuta wachumba, Nikiwa la saba ila nina shamba langu la urithi ambalo limeniwezesha kumiliki mkwanja mrefu ambao umeajiri wenye degree huko shambani siwezi kumtunza yeye na kadegree kake uchwara kalikoshindwa kumjuza kuwa ngazi fulani ya Elimu sio kigezo ktk mapenzi ya kweli???

Ukiwakuta mtaani wanaringa na nyodo kibao, lakini ukiwapa lift njiani wala hawasemi ninadegree siwezi kuendeshwa na wa la saba..!!!

nawahurumia sana hawa dada zetu, wacha waendelee kumaliza Bundle...
 
Kwenye CV yako hapo naomba uongeze na flat screen au msambwanda
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
 
Kiukweli hapa ndio kasoro zao zinapojidhihirisha wadada watafuta wachumba, Nikiwa la saba ila nina shamba langu la urithi ambalo limeniwezesha kumiliki mkwanja mrefu ambao umeajiri wenye degree huko shambani siwezi kumtunza yeye na kadegree kake uchwara kalikoshindwa kumjuza kuwa ngazi fulani ya Elimu sio kigezo ktk mapenzi ya kweli???

Ukiwakuta mtaani wanaringa na nyodo kibao, lakini ukiwapa lift njiani wala hawasemi ninadegree siwezi kuendeshwa na wa la saba..!!!

nawahurumia sana hawa dada zetu, wacha waendelee kumaliza Bundle...
Unaweza kutumia nguvu nyingi kushauri kumbe huyo ni kidume mwenzio anawachora.
 
Hongera kwa nia yako ya dhati kuolewa.

Nawakumbusha wadada ,
Msiwe mnampangia Mungu meme mnayetaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom