Natafuta mke tutakaye-adopt watoto pamoja naye

freshbaraka

Member
Mar 4, 2017
13
50
Habari za leo wana JF.

Mimi ni kijana wa kiume rijali kabisa mwenye umri wa miaka 36. Nina elimu nzuri, mcha Mungu, nimeajiriwa, na nina ndoto za maisha vile vile. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimethibitishiwa na madaktari kuwa nina low sperm count kiasi ambacho siwezi kumpa mwanamke mimba.

Kwa hali hiyo basi nimebakiwa na option moja ya kuasili watoto yatima. Lakini siwezi kufanya jambo hilo peke yangu. Lazima niwe na mke. Nami sikutaka kuoa mke ambaye hata kubalina na matakwa hayo.

Nimeamua kuwa sasa ni wakati mwafaka wa kutangaza nia yangu hii kwa mwanamke ambaye pengine kwa sababu moja au nyingine naye yuko katika hali ngumu kama yangu kwamba naye hawezi kubeba mimba.

Kwa aliyetayari tafadhali niPM.

Sihitaji message zozote za maudhi ambazo hazinisaidii chochote. hujafa hujaumbika. hebu usiniongezee machungu bure wakati tayari nina machungu ya kutosha. kama haikuhusu pita kimya kimya na endelea na maisha yako. Najua kuna watu katika jukwaa hili lazima wacomment kila kitu tena kwa lugha za matusi, kejeli na kukatisha tamaa. kumbuka, kile upandacho utavuna hicho hicho. Tafadhali nyamaza.

Aliyeserious tu aje PM
 
Tafuta usikate tamaa kuna dawa za kuongeza Sperm count.
 
Mwanaume anayehitaji mke asiye na kizazi

There is still hope for you

Kwanza nikupe pole.
Mimi ushauri wangu ni nenda hospital wakufanyie further analysis. Hii itakusaidia kujua mobility ya the sperms, yaani uwezo wa hizo sperms kumove na pia itakusaidia kujua the morphology ya hizo sperms, yani shape yao ikoje.

Vipimo vya sperm count ni one of the first tests ili kujua tatizo, na sio kwamba vikija low basi ndo huwezi kuzaa kabisa. Further analysis is still needed.

Sikuhizi due to assistive reproductive technology, watu wenye tatizo la low sperm count bado kuna possibility ya wao kupata watoto.

Kwa mfano kwa kupitia IVF(in vitro fertilization) yani sperms na eggs zinakuwa fertilizatized kwenye lab halafu embryos zinapandikizwa kwenye uterus.

Au kwa njia ya ICSI( intracytoplasmic sperm injection) hii njia hasa hasa inatumika kwa wenye low sperm count ambapo ni sperm moja tu inahitajika, halafu wanaiinject kwenye yai/egg ya mwanamke, then baadae wanakuja kupandikiza embryo kwenye uterus.

Pia kapime fsh na lh, hizi ni hormones ambazo zinastimulate sperm production, kwa hiyo zikiwa low inabidi upate medication ya gonadotropin releasing hormone(GnRH) hii itafanya the pituitary kusecrete hizo hormones.

So ninachotaka kukwambia ni kuwa usilose hope, there is still a fighting chance. We nenda hospital wakazifanyie further analysis sperms zako, na pia wakacheki hormone levels zinazohusiana na sperm production. I think Muhimbili watakuwa wanaweza kufanya hivyo vipimo na pia siku hizi nadhani wanafanya hizo njia za kutunga mimba kwa kutumia assistive reproductive technology. So don't lose hope just yet!
 
Low sperm account kwa wanaume inasababishea na nini!???

Sababu ziko nyingi mkuu
Ngoja nikutajie chache
Hormone imbalance
Infection kwenye testicles na mirija inayopotisha sperms
Magonjwa ya zinaa kama HIV na gonorrhea
Kuvimba kwa mishipa/veins inayodrain testicles
Blockage/damage kwenye mirija inayopitisha sperms
Radiation/xray exposure
Dawa za aina mbalimbali na kufanyiwa surgeries za aina fulani
Drug use
Alcohol
Severe stress
Obesity/unene
 
mkuu vp na hile tendo la kupiga punyeto kwa kipindi kirefu may be up to 6years +...,!???????
 
Hapana haina madhara yoyote, labda mtu a masturbate so violently a injure his penis au mishipa ya kwenye testicles, napo thats almost impossible
 
There is still hope for you

Kwanza nikupe pole.
Mimi ushauri wangu ni nenda hospital wakufanyie further analysis. Hii itakusaidia kujua mobility ya the sperms, yaani uwezo wa hizo sperms kumove na pia itakusaidia kujua the morphology ya hizo sperms, yani shape yao ikoje.

Vipimo vya sperm count ni one of the first tests ili kujua tatizo, na sio kwamba vikija low basi ndo huwezi kuzaa kabisa. Further analysis is still needed.

Sikuhizi due to assistive reproductive technology, watu wenye tatizo la low sperm count bado kuna possibility ya wao kupata watoto.

Kwa mfano kwa kupitia IVF(in vitro fertilization) yani sperms na eggs zinakuwa fertilizatized kwenye lab halafu embryos zinapandikizwa kwenye uterus.

Au kwa njia ya ICSI( intracytoplasmic sperm injection) hii njia hasa hasa inatumika kwa wenye low sperm count ambapo ni sperm moja tu inahitajika, halafu wanaiinject kwenye yai/egg ya mwanamke, then baadae wanakuja kupandikiza embryo kwenye uterus.

Pia kapime fsh na lh, hizi ni hormones ambazo zinastimulate sperm production, kwa hiyo zikiwa low inabidi upate medication ya gonadotropin releasing hormone(GnRH) hii itafanya the pituitary kusecrete hizo hormones.

So ninachotaka kukwambia ni kuwa usilose hope, there is still a fighting chance. We nenda hospital wakazifanyie further analysis sperms zako, na pia wakacheki hormone levels zinazohusiana na sperm production. I think Muhimbili watakuwa wanaweza kufanya hivyo vipimo na pia siku hizi nadhani wanafanya hizo njia za kutunga mimba kwa kutumia assistive reproductive technology. So don't lose hope just yet!

Mzee umeandika kama nlivyotaka kuandika
akafanye further sperm analysis
Pia assistive reproduction zinapatika ila sio hospital government. kuna ile dar IVF center and Aga Khan ila watu wengi wanaenda SA na India kwa ajili hiyo
 
Back
Top Bottom