Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Sijui ni tabia ya wanawake wa kitanza ia au ni wanawake wa kiafrika kwa ujumla.
Wanawake hawataki kutaja umri wao kamili, labda uwe unamjua au umewahi kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Na hata kama umekiona na ukaamuuliza una miaka mingapi lazima atakudanganya labda ukaze kua ulishaona cheti chake.
Hata vyeti vyetu vyenyewe haviaminiki, unaweza kuchukua na ukataja miaka unayotaka muda wowote.
Mwanamke wa kitanzania ukimuuliza miaka atakwambia niko 25+, niko 30+, niko 20+. Miaka exactly haitajwi, wakiwa na birthday, utasikia wanasema miaka kadhaa, hiyo kadhaa ni ngapi?
Wanawake mna shida gani kutaja miaka yenu kamili. Lady JD kila mwaka akifanya birthday utasikia miaka kadhaa wakati tone ya ngozi yake inaonyesha kabisa anakimbilia 50.