Wanawake kubania unyumba ni sababu kuu ya wanaume kutoka nje ya ndoa

Mzunde

Senior Member
Aug 30, 2016
141
103
Habarini humu ndani,

Kwa utafiti mdogo nilioufanya moja ya mambo yanayochangia wanaume wengi kuchepuka ni suala la wanawake wengi waliondani ya ndoa kutotoa unyumba inavyostahili.

Unakuta mwanamke usiku unaomba gemu anakwambia nimechoka na husema nimechoka mara nyingi.

Sisi wanaume tukitoka nje michepuko hata siku moja haisemi 'nimechoka' anajiachia kwenye gemu hadi sarakasi anaruka yaani unapewa style zote sasa mimi naachaje kuchepuka?

Mimi ni mmoja wa janga hili linanipata sana!
 
thamani ya mwanamke nje ya nyumba ila ukimuweka ndani anaanza kua mwanaume mdogomdogo kija kushtuka unaishi na msela usiombe akawa msela mavi kabisa man!

chunguza kati ya walioolewa na wasioolewa ni kina nani wanaongoza kumuita mwanaume mume wangu?
 
usiwasingizie wanawake. Kama ni kazi kwa kweli wanawake wanafanya sna kazi za nyumbani tena kazi zao ni ngumu shinda za mwanamme anayebeba zege, wanawake wetu wanastahili mapenzi ya dhati kwa kweli. Utakuta mwanamme hamthamini mkewe hata kidogo ila anataka gegedo, mwanamke ni mtu anayetawaliwa na hisia, kama hana hizo hisia ni ngumu sana kujisikia kufanya tendo la ndoa. Hii kitu wanaume wengi wa Dar hawajuwi, wao wanafikiri wakitaka gegedo tu LAZIMA wapate....lahasha jamani, rudini jandoni. Sie watu wa kusini tumefundishwa haya na ndipo hapa tunapowapiga chenga wanaume wa Dar when it comes to pleasing women. Poleni sana wanaume wa Dar haswa vijana wa bongofleva.
 
mkuu hapo kwenye kuitana ntakupinga..ila huko juu upo sawa..
mkewangu nina asilimia 100% ukimshtua hata usiku wa manane ataje jina langu kasahau..maana yeye ni Mume wangu limemkaa mdomoni hadi kero..kuna siku aliwahi jaza official document jina langu kama 'MUM.." Akakata..nilikuja iona nilisema kazi ipo
 
Poleni sana...

Mwanamke wa nje hafanywi kila siku au kila saa ndiyo maana ni rahisi muda wowote kua tayari...

Mwananke uliyemuweka ndani kila siku unamfanya mpaka anakosa hamu na wewe...

Kutoka nje ya ndoa siyo vizuri wala salama...

Cc: mahondaw
side chick masaa yote kinapwitapwita nawewe haupo ndomana ukienda afanya kufuru huhuu
 
usiwasingizie wanawake. Kama ni kazi kwa kweli wanawake wanafanya sna kazi za nyumbani tena kazi zao ni ngumu shinda za mwanamme anayebeba zege, wanawake wetu wanastahili mapenzi ya dhati kwa kweli. Utakuta mwanamme hamthamini mkewe hata kidogo ila anataka gegedo, mwanamke ni mtu anayetawaliwa na hisia, kama hana hizo hisia ni ngumu sana kujisikia kufanya tendo la ndoa. Hii kitu wanaume wengi wa Dar hawajuwi, wao wanafikiri wakitaka gegedo tu LAZIMA wapate....lahasha jamani, rudini jandoni. Sie watu wa kusini tumefundishwa haya na ndipo hapa tunapowapiga chenga wanaume wa Dar when it comes to pleasing women. Poleni sana wanaume wa Dar haswa vijana wa bongofleva.
Sawa waendelee na kazi na mwanaume akichepuke wasilalamike. Kwan umekuja kuwa mfanyakazi
 
Na nyie wanaume watafutieni wasaidizi wake zenu ,kazi zote afanye mwanamke,asafishe nyumba kila siku,apike,akufulie,mara watoto awalee,hivi unadhani usiku analala hoii hana hamu,,wasaidieni wake zenu ,na kama mkiwasaidia akikataa kutoa unyumba ujue sasa hapo kiburi tu ongeza mke mdogo na umwambie kabisaa
 
Poleni sana...

Mwanamke wa nje hafanywi kila siku au kila saa ndiyo maana ni rahisi muda wowote kua tayari...

Mwananke uliyemuweka ndani kila siku unamfanya mpaka anakosa hamu na wewe...

Kutoka nje ya ndoa siyo vizuri wala salama...

Cc: mahondaw
Unajuaje wakati anakuwa yuko huru kufanywa anytime na mtu yeyote.

Tabia mbaya inayofanywa na wanawake waliiolewa ni ile ya kumzoea sana mume kiasi kwamba wana develop uvivu unaopelekea wanachukulia poa poa ishu za msingi. Anakuwa huru sana kukufanyia lolote tu maana anajua tayari we ni mume kashakupata so haumii kwa kero unayoipata anaona sawa tu. Ni swala la kuridhika tu.

Maana utashangaa mwanamke huyo huyo anaweza akapata muda wa kwenda kuchepuka na mtu mwengine akajituma full hadi ukakuta meseji anasifiwa kuwa ni fundi wa kunyonga. Ishu iko complex ila sidhani kama kazi ama kugongwa mara kwa mara ndio sababu coz mapenzi ni furaha kwa wote mkiwa mnasex
 
Na nyie wanaume watafutieni wasaidizi wake zenu ,kazi zote afanye mwanamke,asafishe nyumba kila siku,apike,akufulie,mara watoto awalee,hivi unadhani usiku analala hoii hana hamu,,wasaidieni wake zenu ,na kama mkiwasaidia akikataa kutoa unyumba ujue sasa hapo kiburi tu ongeza mke mdogo na umwambie kabisaa
Sasa unazungumziaje wale wenye beki 3 tena ukute umemuwekea wawili kabisa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom