Mpenzi wangu ana gubu, jambo kidogo lazima aongee

Mpenzi wangu ana gubu, jambo kidogo lazima aongee

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Mpenzi wangu ana wivu sana, ana gubu sana yani jambo dogo lazima aongee.

Wakati mwingine anahisihisi tu mambo nilishangaa aliponiuliza huyo malaya wako ni mzuri kuliko mimi? Au anajua kufanya mapenzi kuliko mimi?

Nilimshangaa anahisi nina mwanamke mwingine, kifupi nimechoka na mabalaa yake, kuna siku kanikuta nimesimama pembeni naongea na simu akaja ghafla akanipora na kuanza kuongea ujinga ndipo alipogundua naongea na mama yangu mzazi basi kuanzia pale sina mapenzi nae tena.

Sasa hivi nampotezea na nishamwambia kuwa mwisho wake umefika lakini cha kushangaza sasahivi ndo anajifanya yupo deep na mimi.

Kawa mpole anashinda na chupi tu ndani kunitamanisha nifanye nae mapenzi lakini sina hamu nae. Ana nitega tega lakini nishakuwa na nyongo.

The_0-a1b531da-a5e4-4413-b835-37d48298227d.jpeg
 
Usilete personal issues huku jf, mambo ya unyumba ni ya kwako, jitahidi kuyatatua huko kama kila mtu angeleta yaje hapa uwanja huu usingetosha tena sisi wengine ndio usiseme, tuna mazito kuliko hayo
na urembo wetu lkn bado tunaumizwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jukwaa lingesema " case closed "
 
Usilete personal issues huku jf, mambo ya unyumba ni ya kwako, jitahidi kuyatatua huko kama kila mtu angeleta yaje hapa uwanja huu usingetosha tena sisi wengine ndio usiseme, tuna mazito kuliko hayo
na urembo wetu lkn bado tunaumizwa
Pole kwa matatizo..
 
Back
Top Bottom