Huyu msichana nampenda ile sijui nimekosea wapi?

Tushfutshtar

Senior Member
Dec 30, 2017
122
250
Huyu dada tumekutana nikampenda kwa dhati na nina malengo mazuri na yeye. Nashukuru alinipa ushirikiano hadi sasa tunaendelea kuwasiliana vizuri. Mm kama MTU ambae nimepitia mabinti wengi huko zamani sikuhitaji na yeye huyu niwe mpitaji kwake,sasa cha ajabu nlilipata taarifa za uhakika toka kwa MTU wake wa karibu akidai tangu niwe naye sijawahi kumuomba tuvunje amri ya 6,akaongeza kusema haamini kama Niko sawa (huenda jogoo hawiki). Hoja yake ni kuwa sio kawaida kwa wanaume.

Hii taarifa imenishtua sana nikaamua kumpigia simu nikamuomba faragha cha ajabu karuka mita maelfu, anadai kwanza hakutegemea kitu kama hicho maana anaamini mda bado japo ananipenda sana. Sina shaka na taarifa hiyo sababu nimefatilia nimeona kuna ukweli.

Ushauri; Kwa faida ya wadada wengine, muwe na subira mwanaume anaweza kutumia mbinu nyingi sana kumpima mwanamke anaejielewa. Sio kwamba kwa kuwa kila mwanaume anaekutongoza anaomba mchezo mkajua ni wote na kwamba asieomba ni kama bwege fulani hivi. Daaah nimeshangaa sana.

Wanaume wenzangu jambo hili nimebugi ? Au Dada ndo anataka kubugi maana anaelekea kunidharau. Na mm nimeanza kushuka imani nahisi anafaa kutumika tu huyu arafu nimbwage.

Jioni njema nyote.
 
Banyasa

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
238

Mwanamke uacha wazazi wake akifuata hako kakiungo ka katikati. Hivyo lazima ajihakikishie kama kapo na kanafanyakazi! Weee vipi?
 
Tushfutshtar

Senior Member
Dec 30, 2017
122
250
Iko hivi ; unapotaka kuoa ,ukishamuona akufaaye unamtongoza kisha yy akikukubaki trtb nyingine zinafuata. Mambo mengine mengine mbwembwe tu
Ooohh maana ake nimechelewa kufanya taratibu za kumuweka ndani! Kama hivo nimekuelewa aisee. Mwanza kuona kosa langu lilipo. Ahsante sana.
 
Tushfutshtar

Senior Member
Dec 30, 2017
122
250
Mwanamke uacha wazazi wake akifuata hako kakiungo ka katikati. Hivyo lazima ajihakikishie kama kapo na kanafanyakazi! Weee vipi?
Dash hahahahah basi kila mtu na akili zake aisee yani kuna wanawake wana misimamo sana wanataka hadi ndoa,sasa hswa WA aina hiiwao tusemeje?
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
15,717
2,000
Ooohh maana ake nimechelewa kufanya taratibu za kumuweka ndani! Kama hivo nimekuelewa aisee. Mwanza kuona kosa langu lilipo. Ahsante sana.
Umeshampenda na umeona anakufaa ,umemtongoza kakuona unamfaa na kakukubalia bado nini tena?Fanya mipango weka ndani ,piga miti mimba - familia inaanza hapo au?
 
Tushfutshtar

Senior Member
Dec 30, 2017
122
250
Umeshampenda na umeona anakufaa ,umemtongoza kakuona unamfaa na kakukubalia bado nini tena?Fanya mipango weka ndani ,piga miti mimba - familia inaanza hapo au?
Haahaha bonge la point,lakini c unajua kuna time kidogo kwa ajiri ya assessment maana kizazi chetu hiki n shida sana.
 
Dharra

JF-Expert Member
Jun 23, 2017
1,667
2,000
Broo Tushfutshtar wala hujabugi inawezekana ni stori za mashosti tu hizo wakishiba chips huwa wanapeana lakini hawamaanishi, dada mmoja aliwahi kuniuliza hio tshirt yako umenunua wapi na mimi nimnunulie yule taahira wangu? hakuwa anamaanisha maana boyfriend wake hakuwa taahira mara ooooh mtu wenyewe wala hajawahi kuniomba kitumbua.. huwa ni story tu stick with your plans kaka.
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,910
2,000
Wewe ulikosea, ilibidi kwanza umshughulikie yule aliyekupa hizi habari kuwa huyo demu wako ana awasiwasi nawe huenda jogoo haliwiki. Ungemchapa yeye kwanza kama miezi kadhaa hivi huku ukimwacha huyo demu wako pekee na mwisho wa siku yeye mwenyewe angejilegeza tu kutaka kukupima kama kweli jongwe linawika. Wanawake siku zote hujiharibia wenyewe mahusiano....utakuta anakupenda lakini ataenda kuwatangazia wenzake kila kitu then wenzake hao hao wanamgeuka na kuja kujilainisha kwako kwa sababu wanakuwa wanajuwa kila kitu kuhusu wewe kwa sababu walishaambiwa na mwenzao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom