Nakerwa sana na tabia mbaya za dada zetu wa kitanzania ambazo hazifai kwa mwanamke wa kuoa. Hawa wa kwetu hapa tz ni:-
1.wajuaji sana
2.wanaongea maneno yenye kero sana
3.wanadharau waume zao...
Jamani jamani! Jamani jamani!
Jana bhana nikampata mchumba mkali sana! Sharti la kwanza ni kupima UKIMWI mbele yake na yeye kupima mbele yangu.
Maswali yakaanza toka kwa mpimaji:-
Kijana.
1...
Watu husema maisha popote ila linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha unapaswa kujiongeza.
Tulipokua vyuoni wengi tulipata wapenzi na kwa kipindi kile japo tulikua tumeshapevuka kiakili...
Ni mwanamke niliyempenda sana ni mwanamke aliyeniridhisha kila nilipomhitaji lakini amebadilika ghafla baada ya mimi kumkosea mara moja vitu vilivyonisababisha niachane naye ni;
Kelele anaongea...
Wanajamii mwenzangu hataki hata kunisikia...leo kagoma kupika then kanambia kashtaki tena jf coz anasema amewahi kuona mashtaka yangu
1. Kumkumbuka alemtoa kimfuniko na
2. kuhusu cm ya usiku...
Salaam wakuu.....
Niende kwenye mada tajwa moja kwa moja
Kwa siku napokea simu zisizopungua 10 kutoka kwa marafiki, ndugu na hata wafanyakazi wenzangu.
Kati ya hizo 4 hadi 6 lazima ziwe zimejaa...
M A R T W I F E .
Asubuhi ya leo, walikuwa na ugomvi mkubwa. Jioni hii Mumewe amerudi kutoka kazini bado akiwa na hasira na mkewe.
Mume akaingia ndani ya nyumba, tayari kwa ugomvi mwingine tena...
Utakuta mwanaume anasotea demu, hadi aje ampate ni mwezi. Au wengine wanakosa papuchi kabisa hata miezi 3-6, labda akanunue. Lakini mwanamke utakuta ana wanaume wengi hadi 10; mme, michepuko...
Nilichogubdua kuna haja ya kumpima imani mwanamke unayetalajia kuoa , unaweza hata usimpe chochote ili uone hilo atalipokeaje tena kama umepanga nyumba nzuri plz mpeleke hata kwa rafiki yako...
Mmoja wa mwezeshaji wa chanjo mkoani Tabora analalamika kuwa moja ya sababu inayosababisha kansa ya shingo ya kizazi ni pamoja na matumizi ya tumbaku kwa wanawake kwa kutumia kawaida na kuweka...
huyu dada ni mlimbwende kweli kwelikweli jamaa yake ni mchaga yupo na maduka ya jumla,dada mweupe,mrefu kidogo,amefungashia kimzigo flan cha kichokozi,yuko smart sana,katika stori za hapa na pale...
Wakuu habarini,
Wazazi wetu wanapozeeka sisi ndo tunapaswa kuchukua majukumu ya kuwalea na kuwatunza maana hata wao walifanya hivyo kwetu hivyo ni haki yetu ya lazima kuwalea.Sasa kwenye kuwalea...
Habari wanajamii forum
Kuna kitu mimi nakiwaza sana ila sijapata jibu.Ina maana hao wanawake wote waliojitokeza kwa RC Makonda ndio tuseme wanaume wamewakosea kweli au jeuri tu za hao wanawake...
Mama alianza kumtoroka Mumewe na kutokomea kusikojulikana huku akimuachia mumewe huyo kichanga.
Baadae baba alipoona hali si shwari na yeye akatokomea kusikojulikana wakikiacha kitoto kichanga...
Wanaume mmekuwa chanzo cha kufanya wake zenu kutoka nje ya ndoa(kuchepuka) kutokana na upweke wa moyo walionao, nitatoa sababu kazaa
1.MAWASILIANO, kipindi mpo wapenzi mlikuwa mnatumia muda...
Wakuu habari za mda huu,
Straight to the mada.
Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo...
Habari za majukumu wakuu,
Ni mwezi wa saba sasa tangu nianze bajeti ya kumtengea mzazi wangu kiasi cha matumizi ambacho nimeweka 'permanent' nifanye hivyo kipindi cha nyuma nilikua sijamwekea...
Leo nilikuwa na mtihani flani japo nimefeli vibaya mno nilijiandaa vizuri na nilikuwa na confidence vizuri ila asubuhi niliota ndoto mtu ananiambia maneno haya "A God's appointed time,you will be...
Habari zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Kwa kweli kuna wanawake pasua vichwa. Kuna wanawake 2 kwa nyakati tofauti, walikuwa wakorofi (full parties), nyumbani ni kelele za music sound...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.