Kwanini wanawake ndio wa kwanza kuonyesha pete ya uchumba?

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,744
Reaction score
4,354
Habari ndugu,

Baada ya salaam, nakwenda moja kwa moja kwenye swali, hivi maana halisi ya pete ya ndoa hasa kwa wakristu ni nini?

Swali la pili kwanini wanawake ndio wanaongoza kuonyesha pete zao za ndoa au uchumba?
30726241_987982258024496_7537988700530016256_n.jpg
 
Utasumbuka nao sana ndugu. Wadada / wamama wengi wao ndivyo walivyo.

Ni watu wa show off / wanapenda kuonekana wa thamani tofauti na wanaume wengi wetu hatuchukulii umuhimu sana hayo

Hata ukioa mkeo akawa hashiki mimba anaumia zaidi kuliko me na siku akishika atapenda ionekane
 
Sawa sawa mkuu....
 
pete ni ishara kwamba umeoa au umeolewa au kuchumbiwa (kwa upande wa pete ya uchumba) ila kuva pete sio lazma ni hiari kwa hyo mtu asije akakuhukumu kwa nin mnavaa pete au kwa nini huvai , necesary but not important
 
Haya maneno huwa yananichanganya ndugu,

necessary & important

Unaweza kusaidia ufafanuzi kama hutojali muda wako ndugu?
 
Utasumbuka nao sana ndugu. Wadada / wamama wengi wao ndivyo walivyo.

Ni watu wa show off / wanapenda kuonekana wa thamani tofauti na wanaume wengi wetu hatuchukulii umuhimu sana hayo

Hata ukioa mkeo akawa hashiki mimba anaumia zaidi kuliko me na siku akishika atapenda ionekane
Umemaliza mkuu hamna cha kuongeza
 
Nafikiri kama uliwahi kushuhudia ndoa za Kikristo huwa wanasema Pete ni ishara ya upendo na sasa wamekua wamoja. Ndio maana wanandoa wengi wakikorofishana au kuachana hutupa au kuvua Pete zao, ikiashiria ya kwamba upendo na umoja haupo tena. Hilo la pili tuwasubiri wahusika wajibu wenyewe.
 
Sijui bilia inasemaje ila mimi naona...

PETE ni Heshima, Uunganiko, Makubaliano, na niishara ya kumkubali kua uliemvisha ndie umemchagua kati ya wengine wote.....

Kuhusu wanawake kuongoza kuonyesha pete zao naona nikama ulivyoiita tu kuonyesha(MAONYESHO) kama pete ni heshima wanaonyesha heshima walioipata...

Wanawake wengi wanapofika age flani ya 27-30 huwa wanachanganyikiwa kuhusu kupata wachumba wa kuwaoa tofauti na sisi wanaume unaweza kusogea tu umri wowote unaotaka kuoa na ukaoa....

Kwahiyo basi inapotokea KE kampata mwenzi wake na akavishwa pete iwe uchumba au Ndoa kabisa huwa ni jambo la furaha sana kwaupande wao ndio maana unaona MAONYESHO.....
 
Siku hizi ni unakuta mdada kila kidole kina pete mkono umejaa pete ,sielewi wanamaanisha wameolewa na wanaume watano au fashion.
 
Utasumbuka nao sana ndugu. Wadada / wamama wengi wao ndivyo walivyo.

Ni watu wa show off / wanapenda kuonekana wa thamani tofauti na wanaume wengi wetu hatuchukulii umuhimu sana hayo

Hata ukioa mkeo akawa hashiki mimba anaumia zaidi kuliko me na siku akishika atapenda ionekane
Mbona wanawake wakiislamu wao hawapo hivi
 
Back
Top Bottom