Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Habari wanajamvi, Niko Hapa Mbele yenu Nahitaji Kujua Chakula cha Samaki wa Kufugwa Kinauzwaje, Na kinaweza Kuwalisha Samaki hao kwa Muda Gani hadi kiishe?
samaki wa mapambo ni biashara kubwa sana hapa mjini , ka hujui fanya utafiti, ni ka biashara ya njiwaJamii forum kubwa sana halafu ina chocho za uswazi pia, mkuu utakuwa umepotea njia huku
Mkuu ina maana hujanielewa ama??? Au mimi sijaelewa??yupo sa
hihi samaki wa mapambo ni biashara kubwa sana hapa mjini , ka hujui fanya utafiti, ni ka biashara ya njiwa
Mkuu ina maana hujanielewa ama??? Au mimi sijaelewa??
Jukwaa aliloleta hii habari nadhani si mahala pake, huku ni malove tu
oh kweli mkuu kaleta upande ambao sio anapoint, nadhani anapaswa kuwa makini katika kujua ni jukwaa gani anapaswa kuweka madaMkuu ina maana hujanielewa ama??? Au mimi sijaelewa??
Jukwaa aliloleta hii habari nadhani si mahala pake, huku ni malove tu
o
oh kweli mkuu kaleta upande ambao sio anapoint, nadhani anapaswa kuwa makini katika kujua ni jukwaa gani anapaswa kuweka mada