Ndoa yako ni ya aina gani katika haya magroup?
1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme
2.Ndoa za Kulazimisha
Hizi ni zile...
Nashangaa kuona wanawaķe wengi siku hizi wanasema wanaume hatuoi tunachezea napingana na hii kauli wanaume waoaji wapo wengi tu wana mapenzi ya dhati kabisa kuwa na mwanamke mmoja.
Wana malengo...
Kwa wale wanaomfahamu mzee huyu yuko pande za ifakara, ni maarufu ndani ya kanisa katoliki hasa kwa kutunga nyimbo nzuri.
Ametunga nyimbo nzuri nyingi sana hasa za Bikira Maria na nyingine...
Habari zenu JF,
Kwanza kabisa mimi ni KE msishange hii ID (ni jina lilonijia kwa haraka maana aliekua mpenzi wangu ni Leo sign). Am heart broken mwenzenu mpenzi wangu kaniacha nimedumu naye kwa...
Mwanamke anayejidhalilisha kwa kuvaa vibaya
Napotoka na shemeji yenu nakuwa siko huru kabisa. Ukiwa naye kwenye party au event fulani ni hatari zaidi hataki kabisa niangalie pembeni...
Habari za jioni wanandugu!
Nina huyu mwanamke wangu ambae labda niseme tumetokea kupendana na ku match sana yaani. Sasa kutokana na kukubaliana na kuridhiana tukafikiria hatua mpya zaidi ya...
Nimewaza kwa sauti kidogo ili nijue weaknesses za wanawake pindi wanapomuona mwanaume na kumtamani.
Kwa mfano mimi nikimuona mwanamke mwembamba wa wastani sio fimbo then ana kiuno kidogo na...
Habari zenu wajumbe!
Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye...
Mwanaume rijali au kwa maana ingine mwanaume kamili jua haya kama huna hata moja jihisi. Huwa anamaamuzi hata kama hana hela akiamua jambo kaamua.Huwa hujiamini anajiamini mf. Akisema tumeachana...
Mbona watu wengi sana (nowadays) hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo (too selective)?
Wengi mnatukana sana...
Wakuu,
Imekuwa kawaida sana kwa wapenzi wa zamani kukutana nakufanya mapenzi kupasha kiporo, haijalishi umeolewa au kuoa lakini wengi wetu tukikutana na wenzi wetu wa zamani ambao hatukuachana...
Bila kupoteza muda ndugu zangu naomba kujua ukubwa wa chuki uliojificha katika mioyo ya wanawake kwa wanawake ni hipi?
Nilianza kufuatilia jambo hili muda mrefu mpaka sasa nimeshindwa kupata...
Wadau hivi tafsiri sahihi ya mapenzi haswa ni nini?
Wanasema mapenzi yanarun dunia ni kweli?
Kwa nini ukimpenda mtu unamtamani muda wote?
Hivi kwa nini mwingine anaua au kuuwawa kisa mapenzi...
Kwenye mapenzi kuna vitu Viwili vikuu vya kuzingatia navyo ni KUPANUANA na KUTIANA
KUPANUANA[emoji127]
Hakikisha mpenzi wako ana upeo wa kimaisha kiasi anaweza kukupanua mawazo yako la...
DAWA YA HOFU , WIVU, CHUKI NA HISIA ZOTE HASI
Kuna hisia nyingi sana hasi ambazo zinatuzunguka kila siku.
Na hisia hizi ndio zimekuwa zinafanya maisha ya wengi kuwa magumu na ya hovyo.
Alama...
Jamani wadau naombeni mnisaidie ivi inakuwaje mwanamke anabadilika kitabia baada ya kufunga nae ndoa yaani ukishamuoa ndio unaanza kumuona mwingine .
Nazungumza hayo kwa sababu kuna msela wangu...
Katika kupita mitandaoni nimeona taarifa inasema bahati bukuku ameachana na mumewe, pia juzi tu niliona video florah mbasha anasema kwamba kuna vifungu kwenye biblia vinaruhusu mwanamke kuolewa...
Aisee nimeona picha ya kwa kina Agness Masogange, kuna nyumba flani ya kisasa ambayo Baba ake anadai Masogange alimjengea. Daah hapo ndo nikabaki najiuliza mbona kuna wanaume wengi maarufu...