mourisous
JF-Expert Member
- Jan 19, 2016
- 443
- 271
Kwenye mapenzi kuna vitu Viwili vikuu vya kuzingatia navyo ni KUPANUANA na KUTIANA
KUPANUANA[emoji127]
Hakikisha mpenzi wako ana upeo wa kimaisha kiasi anaweza kukupanua mawazo yako la sivyoutakuwa unatembea na kichwa maji.
KUTIANA[emoji132]
Hili Swala pia lina umuhimu wake unaweza kaa na kukata tamaa,So hakikisha una mpenzi anayeweza KUKUTIA MOYO na sio yule ambaye kama umekata tamaa anakupa stress zaidi kwa mfano kama umefeli kwenye jambo ambalo alilipinga utasikia akikwambia"Mimi nilikwambia ilo hautafanikiwa"
#USHAURI_WANGU_CHUKUA_HAYO_MANENO_YA_KUPANUANA_NA_KUTIANA_UTAJUA_MWENYEWE_UNAVYOYATUMIA[emoji466]♂