Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanza kabiasa inabidi tujue ya kwamba kuna mbinu kadha na kadha zianzotumika na wanaume kuwatega wanawake ili waweze kukidhi matamanio ya kimwili. Njia ambayo inafahamika na kutumika kuliko...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Waungwana, Najiuliza kati ya hawa mwanamke yupi huwa na kinyongo sana yaani, yule ambaye amekuja uka duu nae hakuridhishwa lakini ukamapa hela au ambaye amekuja ukamduu lakini ukamridhisha lakini...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mpo hapo! Ya kumalizia mwaka hii! A study in 1960 by Yale doctor, James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya homoni za testosterone levels kwa mwanaume na upara...
6 Reactions
248 Replies
42K Views
Habari wanajukwaa? Hitaji langu kuu ni kama nilivyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 26, naishi Dar es salaam kikazi na makazi kwa ujumla. Kitaaluma ni mwanasheria, Elimu yangu ni diploma...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Zawadi ya thamani zaidi anayohitaji binti mstaarabu kutoka kwa mwanaume sio smartphone, gari, pesa au mali bali "NDOA". Ndoa ni ishara ya mapenzi ya dhati, Hiyo ndio zawadi imtoshelezayo moyo wake...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam wanabodi,,, Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja...
6 Reactions
141 Replies
25K Views
Maisha ya mjini ni modern life kula mayai na sausage asubuhi pamoja na chai yenye maziwa na sukari bila kusahau mkate au chapati. Mchana utakula pilau, chips kuku, kiepe na mengineyo na jioni...
19 Reactions
75 Replies
6K Views
Tuanze kwa kumshukuru m/mng kwa kutupatia pumzi cku hii ya leo.Wapo wenzetu,wanao pigania uhai wao maospitarini,wapo walio tanguria mbele za khaki.Rakini yote ni mipango yake mola wetu.Turudi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnajisikiaje kuwa kwenye mahusiano halafu mwenza wako hakushirikishi chochote.Hivi mnajisikiaje kuwa mnapendwa tu au mnajifariji tu ili siku ziende na kuwauliza mnaogopa. Au mwanaume unakuwa nae...
12 Reactions
128 Replies
10K Views
Kichwa cha mada cha kihusike wakuu Kwa mvurugo huu wa mei mosi pale uwanja wa Jamhuri lringa hakuna leo mtumishi wa umma atakayeweza kudindisha. Mechi za pale ngumu sana...aiseeehhhh Wake zetu...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari! I has stayed with my wife more than 10 year but now she changed a lot. Unajua nimekaa kajiuliza na kumchunguza nimegundua ana uhusiano na mwanaume mwingine. Hivyo amekuwa kiburi jeuri hana...
13 Reactions
130 Replies
12K Views
Katika mahusiano kuna mambo mengi sanaa kuna kuvumiliana.. Lakini mwisho wa siku mambo yanakuwa magumu kila mtu anashika zake either Uachwee au Umuachee..!! Kiufupi mimi huwa Naacha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna wanaume mnavyolalamika wanawake viuno vigumu oh hatujui mapenzi na wanaume pia wapo. Unakuta mwanaume wakati wa show hatoi ata sauti kimya kama bubu. Ni kuingia na kutoka.. Kuna wanaume...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Ukimkojolea tu asipofanya jambo moja kati ya haya matatu yafuatayo anza kujiita Mwanaume ' boya ' tu na ukiwakuta Wanaume ' Marijali ' wamekaa usithubutu hata kuwasogelea. Kupumua kwa nguvu sana...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi ni mwana CHAPUTA kindaki ndaki ambapo nabusti individual mechi kila ninapojisikia kufanya hivyo. Pia nipo kwenye mahusiano mazito sana na Girlfriend(Mpenzi wangu), ninampenda, ananipenda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau, Leo ni siku ya huzuni sana kwangu, kwa maana yule ambae nimempa moyo wangu aulinde leo hii kauvunja vipande vipande. Ni maumivu makubwa sana ameniachia, laiti ningeweza kurudisha...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Kuna wanawake kazi yao nikuwajaza watoto sumu ya maneno Mara baba yako hv Mara baba yako hakujali na wengine hawaishii hapo tu wanaweza kumwambia mtoto hata baba yako amekufa!kuna wanawake hawafai...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za humu wapendwa. Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu. Sifa za...
3 Reactions
168 Replies
43K Views
Natumaini wote wazima Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa Awe muislam(muhim saaaana) Miaka 27-36 Elimu Degree Awe anajishughulisha angalau Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake...
9 Reactions
122 Replies
18K Views
Huu ni ukweli uliowazi kabisa wengi huwa wanafikiri wakishatoa mahari basi ni mke wake halali. Jamaa mmoja aliwahi kunyan'ganywa tonge mdomoni kisa tu hakuwa amefunga ndoa na mwanamke wake. Leo...
1 Reactions
75 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…