Royal wedding: Tuna cha kujifunza kwenye mahusiano/ndoa hii

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Hatimaye Dogo anawowa!

Dogo kawapiga watu wee mwisho wa siku alijua atawowa wapi

Ni kama Alikiba kupiga wadada wa mjini alafu kawowa Mombasa

Kama wewe ndio ex wa Prince Harry sijui una Hali gani.. kisa unataka kuwekwa kwenye kumbukumbu kuwa ulitumikiaga dyudyu ya mtoto wa Mfalme... kiru wadada wengine vichwa maji

Alafu Dogo ana miaka 33 Mkewe ana Miaka 36
Kwahiyo wale majimama kuna tumaini kwenu sasa, mmewakilishwa na wifi yenu... soon maserengeti boys watawawowa

Pia nimependa hii harusi vitu 3:
1. Biharusi: Mamake Mtu mweusi, Babake mzungu wa Marekani inaonyesha jinsi gani UBAGUZI WA RANGI ULAYA UNAISHA SASA

2. Bi harusi ametoka kwenye familia duni sana kwao Marekani, Kwahiyo kalamba dumeje!... There's hope kwa wale chokambaya kama mimi, endeleeni kuota Ndoto zenu zitatimia mbeleni msijali

3. Uchumba wao na urafiki wao ulivyoanza ni kwa kupitia rafiki wa Prince Harry, yaani Prince Harry alitambulishwa kwa Megan kupitia rafkiake Prince Harry
Sasa wewe endeleza roho ambaya hautaki kuconnect wenzako wapendane kisa unadhani wakioa/wakiolewa mmoja atafaidi. .. uuuwi Waafrica acheni roho mbaya, Mungu Hapendi. .. kizuri kula na mwenzio

Hongereni sana Prince Harry & wifi yetu Megan, Wifi sasa hivi shida utazisikia kwenye TV tu..

Nani mwingine anaangalia? !

Ila ningetamani sana Marehemu Princess Diana angekuwepo jaman hurumaa!

A divorcée 36 yrs old,black American anaolewa ndani ya Royal family.Ama kweli impossible is nothing usisikilize maneno ya watu bali fata moyo wako as far as unachokifanya ni haki na sio kinyume cha sheria.
Kweli Prince Happy anapenda ma Black
Mars Kenya Mara America... Kweli wazungu hawakukosea kusema once you go black...
 
A divorcée 36 yrs old,black American anaolewa ndani ya Royal family.Ama kweli impossible is nothing usisikilize maneno ya watu bali fata moyo wako as far as unachokifanya ni haki na sio kinyume cha sheria.

Jamani Late Diana angekuwepo leo
 
Attachments

  • Screenshot_2018-05-19-17-02-23-1.png
    Screenshot_2018-05-19-17-02-23-1.png
    525 KB · Views: 66
A divorcée 36 yrs old,black American anaolewa ndani ya Royal family.Ama kweli impossible is nothing usisikilize maneno ya watu bali fata moyo wako as far as unachokifanya ni haki na sio kinyume cha sheria.
Aisee...kweli...

Ana watoto!??
 
Back
Top Bottom