Hivi mabinti/wasichana mna akili gani?

Hivi mabinti/wasichana mna akili gani?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,729
Reaction score
8,807
Jioni hii nimekutana na binti flani kimo cha kati mweusi,juu mkubwa chini mdogo(umbo la simba dume)

Kavaa suruali ya kuchanika chanika kama chizi muokota makopo

Nikamsimamisha nikamwomba namba akanipa nikasepa zangu

Mida nikamtext vipi usharudi maeneo ya chuo(anasoma chuo cha kilimo LITI-MORO)

Eeeeh mtoto anaanza kutemba mbovu "Mara Mimi sio Malaya kama unavyofikiria" Mara "koma kuomba namba kwa watu usiowajua'' (nashangaa alikubali kunipa mwenyewe wala sikumlazimisha)

Nkamwambia Dada wewe kama unajihisi malaya bora uniambie tu manake mi nimechukua namba yako kwa upole tena umenipa mwenyewe,kukushtua tuonane basi unaanza kujishtukia eti nisidhani yeye Malaya

Hivi nyie mabinti muda wote mnawaza kutongozwa tu?

Ndo mana mabinti wengi wa nchi hii wanaishia kuzalishwa kumegwa na kuachwa coz wengi hawana akili ya kupembua mambo.
 
Huyu nimukuja kumgundua ana umbo la simba dume baada ya kunipa namba na kusepa nlipomwangalia kwa nyuma
 
Wewe kweli sigara kali, amekukataa unaanza kumkandia humu, kwani umbo la simba wamepungukiwa nini, daah
 
Jioni hii nimekutana na binti flani kimo cha kati mweusi,juu mkubwa chini mdogo(umbo la simba dume)

Kavaa suruali ya kuchanika chanika kama chizi muokota makopo

Nikamsimamisha nikamwomba namba akanipa nikasepa zangu

Mida nikamtext vipi usharudi maeneo ya chuo(anasoma chuo cha kilimo LITI-MORO)

Eeeeh mtoto anaanza kutemba mbovu "Mara Mimi sio Malaya kama unavyofikiria" Mara "koma kuomba namba kwa watu usiowajua'' (nashangaa alikubali kunipa mwenyewe wala sikumlazimisha)

Nkamwambia Dada wewe kama unajihisi malaya bora uniambie tu manake mi nimechukua namba yako kwa upole tena umenipa mwenyewe,kukushtua tuonane basi unaanza kujishtukia eti nisidhani yeye Malaya

Hivi nyie mabinti muda wote mnawaza kutongozwa tu?

Ndo mana mabinti wengi wa nchi hii wanaishia kuzalishwa kumegwa na kuachwa coz wengi hawana akili ya kupembua mambo.
Sigara kali habari za Mara bhana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom