Msanii wa kike wa filamu bongo Shamsa Ford amesema kwamba hakuna mwanaume asiye-cheat

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Shamsa amesisitiza kwamba mwanaume kusaliti ni jambo la kwaida, ila kwenye suala la usaliti kuna kiwango ambacho hakiwezi kuvumilika.

“Mimi ninanvyojua hakuna mwanadamu ambaye yuko perfect, mwanaume kucheat ndivyoa alivyoumbwa na Mungu, hamna mwanaume ambaye hacheat, hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, Bill Clinton alikuwaga na kesi alicheat, Jay Z alikiri amemcheat Beyonce na uzuri wake na ustar wake, ila kuna utofauti wa cheating, kuna kucheat mtu anamleta mpaka ndani, hiyo haivumiliki”, amesema Shamsa.

Kauli hii ya Shamsa sio mara ya kwanza kusikika akiitamka, ambapo mara ya kwanza aliibua mjadala baada ya tetesi za mume wake kuwa na mchepuko, na kusema kwamba hawezi kumuacha kwa sababu ya kuchepuka kwani ndio uanaume.
View attachment 781915
f90ed48faad8d3431c08968be01c4e32.jpg
 
[HASHTAG]#Wapo[/HASHTAG] wanaume wasio-cheat n hata wazo la kucheat hawana,meaning wameamua kuchagua one partner na kudumu nao.ukiwa na historia na wanaume wanaocheat haimaanishi kila mwanaume is a cheat.REAL MEN DON'T CHEAT KAMA WAKO ANA CHEAT HUYO SIYO A REAL MAN.
 
Kavurugwa tu huyo
Ni kweli lakini tofauti ya mwanaume na mwanamke ni kwamba, mwanaume anaweza kuchiti na akaendelea kuwa na Upendo madhubuti kwa mkewe lakini mwanamke akimchiti mumewe, mwanamke huyo hawi na upendo tena na mumewe na badala yake anaamishia upendo wake kwa mchepuko.
 
Wako wanaume faithful wasio cheat. Tatizo wadada wana tabia ya kujumuisha tabia za ma ex zao na wengine. Just because flan alikusaliti haimaanishi kuwa juma atafanya hivyo hivyo.

Kusaliti ni hulka ya mtu binafsi lakin si hulka ya watu wote.
 
Ni kweli ukiwa na historia na wanaume wanaocheat haimaanishi kila mwanaume anacheat.
Wako wanaume faithful wasio cheat. Tatizo wadada wana tabia ya kujumuisha tabia za ma ex zao na wengine. Just because flan alikusaliti haimaanishi kuwa juma atafanya hivyo hivyo.

Kusaliti ni hulka ya mtu binafsi lakin si hulka ya watu wote.
 
Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Shamsa amesisitiza kwamba mwanaume kusaliti ni jambo la kwaida, ila kwenye suala la usaliti kuna kiwango ambacho hakiwezi kuvumilika.

“Mimi ninanvyojua hakuna mwanadamu ambaye yuko perfect, mwanaume kucheat ndivyoa alivyoumbwa na Mungu, hamna mwanaume ambaye hacheat, hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, Bill Clinton alikuwaga na kesi alicheat, Jay Z alikiri amemcheat Beyonce na uzuri wake na ustar wake, ila kuna utofauti wa cheating, kuna kucheat mtu anamleta mpaka ndani, hiyo haivumiliki”, amesema Shamsa.

Kauli hii ya Shamsa sio mara ya kwanza kusikika akiitamka, ambapo mara ya kwanza aliibua mjadala baada ya tetesi za mume wake kuwa na mchepuko, na kusema kwamba hawezi kumuacha kwa sababu ya kuchepuka kwani ndio uanaume.
View attachment 781915
View attachment 781920
iyo parking nimeielewa
 
huyumwanamke ana miakili....utakuja kujiua bureukijiwekea eti upo pekee yako. bora ujiwekee asilimia 15 kuwanjemba au mke anaweza chepuka. very sensible.
 
Back
Top Bottom