DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,358
Kiukweli kukaa njia kuu kuna maana kubwa sana, baada ya kujifanya dazz Nunda kwa muda mrefu sasa leo hatimaye nimeingizwa mkenge.
Yaani leo nimepokea mshahara wangu wa mwezi mzima laki sita sasa cha ajabu, pesa yote kapita nayo mchipuko.
Hii ni baada yakutoka kazin na baasha yangu ya Kaki na ndipo alipoamua kuchukua mshahara wangu nakupotelea kusiko julikana. Sasa hivi nikipiga namba zake hapatikani kwenye simu .
Inauma sana ni bora nitulie na mke wangu tu maana laki sita yote imeibiwa kwa uzembe wangu wakati mimi mwenyewe nina madeni kibao kwa mangi sijayalipa. daaaa!!!!