Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua. Usafi binafsi Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu...
1 Reactions
25 Replies
21K Views
Kuna rafiki yangu hapa anaitwa Paul alikuwa kwenye mahusiano na msichana flani hivi, wamedumu sana kwenye mahusiano. Huyu Paul hua hajatulia anapenda penda sana, mpenzi wake kafuma SMS na picha...
2 Reactions
96 Replies
7K Views
Wasalamu wote, Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Miaka 4 iliopita nakumbuka bado nikiwa shuleni, kidato cha nne katika shule moja iliokuwepo jijini dar es salam. Nilibahatika...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Assalam alayqum wana Mmu, natumai mnaendelea vyema na mfungo na wengine na pilika zenu za kawaida kwa wale wagonjwa Allah atawaafu inshallah mtapata nafuu. Nimekaa nikawaza kwamba nijaribu...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Brother Hata mwanamke ulienae ni mzuri kuliko unaemtamani...kuliko yule unaemuona kapendeza huko ofisini au barabarani ..jaribu kwanza kumpenda huyu ulie nae, na kumpa upendo wako, huku...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Hakika mapenzi yana changamoto sana,hasa pale umpate umpendae na akajua unampenda basi atakuzingua sana Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa mamia kadhaa ya wasichana na kudumu nao kwa miezi/miaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
MWANAUME MMOJA ALIPATA KUANDIKA...KUHUSU WANAWAKE 1.Mwanamke ni kiumbe wa kipekee sana na inahitajika akili kubwa kumwelewa. Bahati mbaya wanaume walio wengi bado wangali hatuwaelewi wanawake...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba niwaulize hili swali baadhi yenu humu,kwa kweli mna tabia mbaya na za ajabu ambazo mwanaume kamili hawezi kuziwaza hata kidogo. Kila siku mmekua mkija na mada za ajabu ambazo zina mrengo...
10 Reactions
416 Replies
18K Views
Bahati Ramadhani akiwa amembeba mumewe Jivunie Mbunda katika harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Liwale mkoani Lindi na kuvuta hisia za wengi. Salama (22), dada wa Bwana Harusi...
4 Reactions
43 Replies
9K Views
toka huyu dada amekuja hapa kazini ni mwezi wa nne huu. ni mdada mpole ana sauti ya upole na humsikii akiongea kwa sauti kubwa. ni dada mwenye uzuri wa wastani yaani si mbaya wala si mzuri.ila...
0 Reactions
86 Replies
12K Views
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata...
10 Reactions
127 Replies
13K Views
Migogoro mingi sana katika mahusiano inahusisha matumizi mabaya ya simu za mkononi.Siku hizi watu wanatumia simu kutongozana hadi wanakutana na kufanikisha lengo lao kwa njia ya sms na hata kwa...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimefanya uchunguzi ndani ya familia yangu,ndugu,jamaa na marafiki pia . Hawa vitinda mimba wanakuwa na tabia tofauti kabisa na wakubwa zao,utakuta katika familia moja wamezaliwa sita lakini cha...
7 Reactions
163 Replies
22K Views
Ukitaka uishi kwa amani pasipo msongo wa mawazo wa mapenzi basi jali mambo yako na sio kumchunguza mwenzako. Sawa una haki kujua anafanya nini na nani na wapi kwa mda gani na mara ngapi. lakini...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni members wenzangu.,Mimi ni mzima wa afya kwa kiasi chake.Nimeamua kutumia id mpya ili niwe huru zaidi. Ninapoandika hapa naona ni hatua kubwa sana nimefikia,,kuweza hata kuhadithia...
37 Reactions
321 Replies
26K Views
Kiukweli alikuwa demu ambae ni mzuri kupitiliza, na mimacho yake ya gololi, tulikutana chuo fulani hivi katikati ya jiji la KUMAMOTO huko JAPAN nilikuwa na kibamia lakini kumuwekelea ilikuwa...
4 Reactions
37 Replies
8K Views
Hi guyz habari zenu jamani. Mwenzenu kuna mwanaum nishawahi kuwa nae kimahusiano kutokana na tabia za uhuni nliamua kumuacha kwa sasa miaka miwili,tatizo ni kwamba nimejaribu kumsahau lakini...
3 Reactions
83 Replies
12K Views
Habari wana MMU. Mimi nimepanga nyumba moja, zamani tuliokuwa tunaishi wote wanaume, sahivi karibuni kahamia mdada hapa yaani anaanika chupi zake nje. Kwa siku anabadili mara mbili dah yaani mie...
28 Reactions
257 Replies
52K Views
Daaah kiukweli hii tabia imenitawala sana wala sijui chanzo nini? Kuna msichana mmoja kila nikimuona ujasiri wa kumuangalia huwa naukosa na nikijaribu hata kuangalia her back basi najihisi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wazima ? Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni. Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa...
5 Reactions
238 Replies
23K Views
Back
Top Bottom