Simba jike anawinda then analeta home anakula na simba dume. Tena anakula kwanza mume kisha jike anakula baadae. Ndipo hata mzigo simba dume anatoa wa kutosha.
Sasa ninyi endeleeni na vizinga...
Habari zenu wanakitongoji cha MMU,
Bila shaka mu bukheri kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale basi tusikate tamaa kuzidi kuomba neema zake Mungu wetu!
Bila kuchelewa nianze na mada husika...
Habari wana Jf
iko ivi usidanganyike na muonekano wa mtu kwa nje kua kavaa kapendeza vizuri
ukitaka kumjua mtu ni mstaarabu na msafi mfanyie suprise chumba anacholala hapo ndo utapata majibu...
Kila jambo unaloliona linayumba duniani limetokana na makosa ya mwanaume kwa kuwa hata ukiangalia kwenye masuala ya Mungu,vitabu vitakatifu vinatuambia MUNGU ni baba,Yesu Kristo ni wa kiume,roho...
Nimeona nimwombee ushauri jirani yangu namwonea huruma na kwakweli anateseka.
Yeye ameolewa na wamebahatika kuzaa watoto wanne (4) tatizo linakuja kuwa mme wake hampi raha nyumbani wala...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nianze kwa kucheka tu jamani, yani yule baba yake mdogo nancy alinivunja mbavu,lile fumanizi lilifanikiwa kwa asilimia mia wanajamii wenzangu...
Habari wakuu,
Hiki ni kisa kilichomtokea rafiki yangu na nilijifunza mengi kutokana na kisa chake cha mahusiano na naona ni vyema tuka share wengine pia wajifunze.
Ilikua ni siku yenye kunyesha...
Kama lipo Eneo ambalo mataifa ya magharibi yamefanikiwa kujiharibu Ni swala la ndoa na familia. Walianza na usawa unaozidi hata mipaka ya vitabu vitukufu kwa wanawake
Wakaja na usawa kwa watoto...
Za muda huu wana JF,
Wanawake ni viumbe hatari sana huwa nikikumbuka natamani kulia.
Story iko hivi.
Nakumbuka kipindi nasoma nikiwa ordinary level nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye...
Embu wakuu naomba wajuzi wanisaidie. Nina mpenzi wangu tupo naye kwa takribani miezi minne ila shida kubwa tunapokuwa tupo kwenye ku enjoy majamboz huyu mwenzangu kule chini kuna kuwa kama kukavu...
Jamani mm ni kijana mdogo mdogo tu ila naona nimeanza kufuatwa na pepo mbaya.
Hapa ninapo kaa kitaa cha home kuna mwanamke ana umri kwa makadirio 22 amekuwa akinitaka kimwili yani kila nikikutana...
Pamoja na malalamiko kila siku juu yenu wanawake wa siku hizi mmekuwa kama sikio la kufa
Pamoja na kupenda sana pesa na kuweka tamaa mbele kuliko upendo kinachonikera ni hichi wanawake wengi siku...
Ndoa ni asili ya baba yetu Adam na Hawa.
Baada ya Adam kuumbwa kwanza na akawa ni mwenye kukaa muda mrefu akiwa peke yake.
MUNGU akamuona kuwa ni mwenye unyonge mno, ndipo likaja wazo la kuumbwa...
Wadada punguzeni kujishindilia lipstick kwenye midomo yenu kama tope.
Hii imetokea week chache zilizopita jamaa mmoja alitoka kwenye mihangaiko yake huko mjini kapanda mwendokasi iliyokua imejaa...
Wakuu, hapa sizungumzii yule beki tatu wangu niliyempa mimba na nikamuelezea ktk uzi huu
Hatimaye yule beki tatu aanza kupata kichefuchefu, ndoa yangu matatani
Nazungumzia general kwa hali ya...
Kwanini?
Wakamalia sugu ndoa zao huvunjika mapema hata kama anatoa kila mahitaji muhimu nyumbani.
Sababu mimi nahisi pia kutokana na mawazo ya kupoteza kipato mara kwa mara wanashindwa...
Heshima kwenu wakuu,
Huu ndo ukweli wasiopenda watu kusikia. Wakati mwanamke wa kihindi unampata kwa kumuimbia nyimbo nzuri, kwa wabongo ni tofauti.
Mwanamke wa kibongo ukimtaka yaani...
Huyu ni mpenzi wangu ambae tumedumu kama mwaka mmoja katika mahusiano yetu.Kama ilivyo kwenye mahusiano mengine yoyote kwamba kugombana na kupatana ni jambo la kawaida sana kwa...
WAZO LA LEO!!
SI VIZURI KUDHARAU VITU ANAVYOCHAGUA MKEO, ETI ANACHAGUA VITU VYA HOVYO HOVYO NA VYA KIJINGA!!! KUMBUKA HATA WEWE NI CHAGUO LAKE!!!
:);):)