Hivi ni kwanini mahari haikopesheki?

Hivi ni kwanini mahari haikopesheki?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Nimefikiria hili jambo nikagundua laiti mahari yangekuwa yanakopesheka wasichana wengi wangekuwa kwa waume zao maana kuna walioshindwa kuoa kwa kukosa mahari,na kuna waliobaki na pete za uchumba baada kwa kuachwa na mwanaume kwa kukosa hela ya mahari kwa gharama kubwa..
Laiti hii sheria ingebadilishwa labda kukawa na wadhamini pale mwanaume umempenda mwanamke na mwanamke akakubali kuolewa kama uwezo wa mahari hauna ukaruhusiwa kuoa kukawa na form maalum ya kujaza kuwa unadaiwa mahari kiasi fulani na mtu fulani hapa baadae baada ya kuishi ndo ulipe,,hii naona ingesaidia madada zetu kuolewa na kupungua kuzeekea nyumbani..
Naomba kuwasilisha..
 
Pia WAZEE wapunguze bei Ya MAHALI
VIJANA TUWOWE
 
Zinakopesheka bana!

Huku kwetu unapewa mke na unaambiwa "KATAFUTE MAHARI KWA UTULIVU NA MKEO"

Sasa nyie vijana wa mjini "ubabaishaji mwingi" ndio maana hampewi mke mpaka mtoe mahari. Ova.
 
Mshkaji wangu anafanya kazi wizarani, kaoa ndoa ya kanisani miaka 4 sasa na wamezaa watoto wawili ila hajawahi kulipa hata mia. Alikopeshwa mahari kwa utaratibu huohuo wa kuandikishana.
 
mahari.jpg
 
Kwenu ni wapi mkuu nije huko ndo kunanifaa
 
Mshkaji wangu anafanya kazi wizarani, kaoa ndoa ya kanisani miaka 4 sasa na wamezaa watoto wawili ila hajawahi kulipa hata mia. Alikopeshwa mahari kwa utaratibu huohuo wa kuandikishana.
Aise hiyo ndo nzuri mi naona hiyo sheria ingepitishwa kabisa kiserikali
 
Nimefikiria hili jambo nikagundua laiti mahari yangekuwa yanakopesheka wasichana wengi wangekuwa kwa waume zao maana kuna walioshindwa kuoa kwa kukosa mahari,na kuna waliobaki na pete za uchumba baada kwa kuachwa na mwanaume kwa kukosa hela ya mahari kwa gharama kubwa..
Laiti hii sheria ingebadilishwa labda kukawa na wadhamini pale mwanaume umempenda mwanamke na mwanamke akakubali kuolewa kama uwezo wa mahari hauna ukaruhusiwa kuoa kukawa na form maalum ya kujaza kuwa unadaiwa mahari kiasi fulani na mtu fulani hapa baadae baada ya kuishi ndo ulipe,,hii naona ingesaidia madada zetu kuolewa na kupungua kuzeekea nyumbani..
Naomba kuwasilisha..

Unaivyoitindua ' Mbunye ' ya Watu huwa unakuwa na huruma nayo? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Hiyo sheria ingebadilishwa nadhani dada zetu wasingezekea nyumbani
Kuna sababu zaidi ya hilo suala la mahari..na ndio maana kuna utoaji wa mahari nusu hiyo nyingine mtajuana wenyewe

Anyway..nikuambie tu kaka angu tafuta pesa peleka mahari kwa wazazi wa binti wa watu acha kupenda vya mkopo
 
Sina maana hiyo mkuu mi niliuliza tuu sio kwamba nimeshindwa kutoa mahari ila naona kama kuna walioshindwa kuoa kwa kukosa mahari
 
Back
Top Bottom