Unamjuaje mtu mwenye upendo wa dhati kwako??

Upendo wa dhati unapimwa na matendo! ///kujali,unconditional luv.

Love has truly been good to me
Not even one sad day of memory I've had
Since you came my way
I hope you know I'll gladly go
Anywhere you take me ain't no limit to this love
I'll follow you to the moon and the sky above.

The first time i met you
I didn't sweat you
My Juliet i knew that i catch you
Gave you the key to my heart you unlocked it
A perfect match you the plug, I'm the socket
As time moved on we became friends
I knew was love at first sight and it wasn't 'bout to get wit this
You was there when i needed you
I remember writing letters on the road i wanna be wit you
I know we young and we got time
Little soldiers need love so girl i want to make you mine
We could roll together, go to shows together,
my best friend girl lets grow together.

Ahaaah ok ila matendo yapi hayo
Kwa mfano me nakuambia nakupenda sana OHB11 kila siku nakuambia nakupenda lakini sjawah kukupigia, sijawah kukutext yan had unianze wewe sijal kuhusu uwepo wako, sometimes unahitaj kunisikia saut uwe calm kutokana na maudhi uliyokutana nayo nakujib am busy piga baadae ukipiga sipokei kabisa ila ukiniuliza nakupenda nakujibu nakupenda

Umeona hapo kauli nyepesi zaidi kusema vitendo havilandani na kauli yangu

Au nakwambia nakupenda, nahakikisha unalala ukiwa okay, nakujali nakupa muda wangu efforts unaziona zinaendana kabisa na maneno hapa lazima useme kweli Madame S unanipenda

Mapenzi lazima yawe mutual ndio utafaidi, upate mtu sahihi ndio utafaidi zaidi,
 
Hakuna uthibitisho sahihi wa kuweza kutambua, zilizopo ni nadhalia tu na hisia tu za mtu
 
Kama unampenda mtu, utamtakia unayojitakia wewe na nafsi yako.

Mfano kama nampenda Madame S ningependa awe na furaha kama mimi, ningemshauti ninapoona anapotoka arudi kwenye mstari ili mabaya yasimkute.

Kama unampenda mtu utamjali hisia zake, utajiepusha na kumkera ama kumfanya awe na majonzi.

Utamfichia aibu na siri zake na pia utashare furaha ya maisha yake ikiwemo mafanikio yake.

Anapokuwa yupo down, utamfariji na kumsaidia aone lile jambo ni kawaida na litapita.

Unaempenda daima utamuombea mema kama unavyojiombea wewe.

Sio mbaya ukimkuta anadundwa ukatembeza mitama ya nguvu pia.😛😛
 
Nani uliyemwambia kuwa ana kisebengo?
 
Sio mbaya ukimkuta anadundwa ukatembeza mitama ya nguvu pia.😛😛
hahahahha huo ujasiri utautoa wapi dada angu mpendwa?? Naona ningekaa mbali nijiepushe na balaa

Umeongea vyema, mtu anayekupenda kwanza hakufichi kitu anakuchukulia kama mtu wake wa karibu,atakushirikisha kwenye shida kwenye furaha
 
Ila kama ni humu JF wewe ukitaka kumuonyesha binti kama Demiss unampenda basi mkuoti kuoti tuuuuu, jifanye ku laiki kila comment. Msifie sifieeeee na hivi anaitwa cha mdeko nenda nae sawaaa si unajua unachokitafutaaa.

Toa mkonyezo kila akipita, atakuelewa tu. Hakunaga mkate mgumu mbele ya supuuuu.

(Ukiingia mkenge mi sipo)

Akimaindi poa tuuuu😀😀
Hahahahahahaha Kitu Na Box
 
Kwa mfano me nakuambia nakupenda sana OHB11 kila siku nakuambia nakupenda lakini sjawah kukupigia, sijawah kukutext yan had unianze wewe sijal kuhusu uwepo wako, sometimes unahitaj kunisikia saut uwe calm kutokana na maudhi uliyokutana nayo nakujib am busy piga baadae ukipiga sipokei kabisa ila ukiniuliza nakupenda nakujibu nakupenda

Umeona hapo kauli nyepesi zaidi kusema vitendo havilandani na kauli yangu

Au nakwambia nakupenda, nahakikisha unalala ukiwa okay, nakujali nakupa muda wangu efforts unaziona zinaendana kabisa na maneno hapa lazima useme kweli Madame S unanipenda

Mapenzi lazima yawe mutual ndio utafaidi, upate mtu sahihi ndio utafaidi zaidi,
Hahahah nimeelewa madam s
 
Back
Top Bottom