Kupigwa mbele ya mpenzi wako inaumiza sana

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
455
875
Wakuu leo nilitoka out na my love na ndo tuna mwezi 1 ndani ya penzi.Yeye alikua na best yake,alikuja kunitambulisha kwake.

Cha ajabu tunakaribia kutoka club,kuna wanaume watatu walikua wanatusubiri nje.Ghafla wamemvamia mpenzi wangu na kuanza kumvuta mkono waondoke nae,mmoja wao akijitamba ndio mpenzi wake.

Mimi kuona hivi ikabidi niingilie,kwa kweli sio siri nimepigwa sana makofi na nimedhalilishwa mpaka kuchaniwa nguo.Walikuja watu waliokuwa karibu kuja kusaidia ndio jamaa wakakimbia.

Kwakweli nimeumia sana moyoni,kwa jinsi ninavyofahamika apa club na kitendo nilichofanyiwa mbele ya mpenzi na rafiki yake ni aibu kubwa sana,nafikiria kumuacha huyu mwanamke japo nampenda sana.
 
I think what hurts most is the deceit, the betrayal.

Maumivu ya kipigo yataisha tu but ile aibu ya kupigwa mbele yao na yale maumivu ya usaliti yatabaki na wewe kwa mda kidogo.

Pole sana. Believe me, amehusika katika namna moja ama ingine.

She dragged you into her bullshit.
 
Upigwe ndio umuache mwenzio?? Uwe serious wakat mwengine!

Kwa hiyo mbali na kupigwa unamuacha amekukosea nn

Angekuwa ame wind up past yake na aka move on basi mpenzi wake asingepigwa.

Labda alikuwa na nia ya kupata mwanamme mpya lakini huenda pia hakuachana na mpenzi wa zamani. She was testing the waters first before putting both feet in.
 
I think what hurts most is the deceit, the betrayal.

Maumivu ya kipigo yataisha tu but ile aibu ya kupigwa mbele yao na yale maumivu ya usaliti yatabaki na wewe kwa mda kidogo.

Pole sana. Believe me, amehusika katika namna moja ama ingine.

She dragged you into her bullshit.
kwamba huyo dada na mmoja wa hao wanaume n mtu wake???
 
Mambo haya ndio maana kwenye gari huwa sikosi hata panga!!

Siku nyingine ndio ujue kuna umuhimu wa kujifunza jinsi ya kujilinda nawe ungerusha hata vi uppercut viwili vitatu vya kuokoteza..

Binafsi ningekuwa mie huwa ugomvi usingekuwa mwisho, mtu hawez kuja kuniletea mambo meusi kisa mwali, ningewachukua masela wa mkamba ningeenda kumkanda ile kindaki ndaki asinisahau maishani mwake.
 
I think what hurts most is the deceit, the betrayal.

Maumivu ya kipigo yataisha tu but ile aibu ya kupigwa mbele yao na yale maumivu ya usaliti yatabaki na wewe kwa mda kidogo.

Pole sana. Believe me, amehusika katika namna moja ama ingine.

She dragged you into her bullshit.

Aisee
 
In my adulthood I have never lost a fist fight.

I'm very confident in my knuckle game and a couple people are going to get it whenever we end up crossing paths.
 
I think what hurts most is the deceit, the betrayal.

Maumivu ya kipigo yataisha tu but ile aibu ya kupigwa mbele yao na yale maumivu ya usaliti yatabaki na wewe kwa mda kidogo.

Pole sana. Believe me, amehusika katika namna moja ama ingine.

She dragged you into her bullshit.
Malizia Hivi..... If at the story is true!!
 
Back
Top Bottom