Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Shost ana nyumba na ana wapangaji. Nyumba hii iko huku kwetu Kwamtogole. Katika wapangaji wake kuna vijana wanne kutoka mkoa flani ambao ni wapangaji wa chumba kimoja wapo mwaka wa 20 huu.
Aliyekuwa mpangaji wa kwanza aliondoka na kuwaachia wenzake nao waliondoka na wengine wanakuja. Huyu mpangaji wa kwanza anahakikisha uhusiano wa wapangaji wa chumba na mother house unakuwa smooth siku zote. Kama vijana wameshindwa kulipa kodi wanampa taarifa anawasaidia. Kwa wale vijana yeye ni God Father.
Kuna katiba ya kuishi kwenye chumba hiki.
1. Watu wasizidi wanne at a time.
2. Mpangaji hachagui kazi ya kufanya
3. Kila mtu ana wiki moja ya ku provide chakula kwa wenzake wote.
4. Wapangaji wote ni wa kutoka mkoa ule kuja kilutafuta maisha mjini.
5. Kodi huchangwa kutoka kwa wapangaji wote.
Kuna kitanda, jiko, vyombo vichache na masofa. Wanaoingia mjini huanzia kazi yeyote ile. Kwa wale wageni kila mtu anakuwa na sim card yake unauweka kwenye handset inapikuwa free mpaka utakapoweza kununua handset ya kwako.