SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,020
- 1,057
Habari wana JF,
Kuna rafiki yangu ana mahusiano na binti ambaye hamfahamu wanafahamiana kwenye picha tu za kutumiana, kwa sasaivi wako kwenye mahusiano zaidi ya miaka 3 mpaka sasaivi.
Ila kwasasaivi rafiki yangu amepanga kuonana nae maana binti yuko Dar es Salaam na huyu jamaa yuko mkoani.
Kuna siku jamaa alimuuliza binti kwamba kwanini anampenda hali ya kuwa hajawai kukutana nae binti alimjibu kuwa "alimpenda tu the way alivyo na hajielewi kwanini ana mpenda"
Sasa jamaa amepanga kusafiri kuonana nae nae na binti akasema kwamba jamaa asihangaike kumfuata atakapokuwa, yeye binti tu ndo atamfuata ili waonane jamaa atakapowasili.
SASA NDUGU NIPENI UZOEFU WA MAPENZI YA MBALI HASA KWA WATU AMBAO HAMJAWAI ONANA. KWELI YANAWEZA DUMU?