Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mapenzi yanapaswa yawe ni pepo ya moyo! Kinyume na hapo, sepa tu. Huna haja ya kubaki kwenye mahusiano yanayokuweka roho juu kila siku. Ya nini sasa? Kwa ushauri tu, ukikutana na mambo haya...
17 Reactions
106 Replies
14K Views
Yangu naachukia wadada wanaojishaua na maisha yakupretend na pia nachukia kuringiwa na mabosi wanaojiona na wanadaiwa mikopo. Nachukia wakaka wanaopiga wadada na kuwanyanyasa. Nawachukia mamario.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba tusaidiane mawazo nini chanzo cha kukuwa kwa tamaduni hii hapa nchini na kwa jamii zote zenye watu weusi. Binafsi nazungumza haya kutokana na uzoefu wangu(life experience) na uchunguzi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Isaya:4.1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wapendwa Dunia ina mambo Kuna ndugu yangu mmoja ni mkazi wa Tabata ila anafanya kazi mkoa mwingine, ameoa na wamebarikiwa watoto. Mke wake kwa siri akachukua mkopo benki na kuweka nyumba...
8 Reactions
68 Replies
8K Views
​ Ripoti ya viashiria vya Ukimwi nchini katika mwaka 2011/12 imeonyesha kuwa wasichana wenye umri wa kati ya miaka 23 na 24 wameambukizwa virusi vya Ukimwi kwa asilimia 6.6, ikilinganishwa...
0 Reactions
54 Replies
12K Views
MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI. 1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya...
9 Reactions
28 Replies
9K Views
Kwa wale vijana wanaotaka kuoa niwaambie tu usije ukakimbilia kuoa eti ni kwa sababu unataka Tendo la ndoa. Au unataka kuoa kwa sababu umechoka kupika na kufua ? Unatakiwa ukae ukijua Kwamba...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Huyu shost alikuwa wale waliobaji kwenye shelf kidogo. Tangu amemaliza shule alikuwa nyumbani muda mrefu mpaka pale handsome boy alipokuja kutoa posa na harusi ikafuata. Wazazi waliambiwa kazi ya...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kuna mdada mmoja nilichukua namba yake kukawa tunachart vizuri tu. Sasa nikajisemea ninogeshe penzi nika mtumia hela bila yeye...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Yap wadau nimefanikiwa kumjua mchumba wa Ex wangu na nimefurahi kumjua anaye chukua nafasi yangu nimefurahi sana yani kumjua
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Kipindi hicho nipo kidato cha kwanza shule ya kata nilipata kuzoena na kuwa na ukaribu na mtoto mzuri tulikuwa na mazoea ya kawaida tu sijui kama kwa kipindi kile kama kati yetu kuna mtu...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa Mujib wautafiti uliyofanyika na Prof Mbaga wa Muhimbil; zaidi ya mashoga 700 walijitokeza kwenye utafiti huo mkubwa uliyofanyika Dar na kutangazwa rasmi mwaka 2018 ( Mbaga et al., 2018)...
3 Reactions
62 Replies
11K Views
Ni tumaini langu wote wazima, Nipo hapa kumtafuta Soul mate wa maisha ambaye ana uhitaji wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila mtu na mtu wake kwa muda...
20 Reactions
165 Replies
14K Views
Stori za huku kwetu Kwamtogole leo zimekuwa nyingi sana. Eliza alimaliza kidato cha nne na kupata cool ladies division. Kwa hasira wazazi wake walimpeleka evening classes pale Magogoni. Kule...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni zaidi ya miezi nane sasa nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu ambapo kitabia sina mashaka nae ingawa ni ngumu kumuamini mtoto wa kike kwa asilimia 100% sababu wametawaliwa na tamaa ila...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Ataonyesha bashasha isivyo kawaida ila hatokuwa anataka mtazamane machoni Atajifanya anakuhitaji sana Kimapenzi na mkiwa Mapenzini siku hiyo atajibiidisha sana / mno Atajifanya anakupikia...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Closed
Habari, Mimi ni mwanamke wa kitanzania. Wasifu wangu:_ Mkristu-RC(Mcha Mungu) Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu) wasifu wa mchumba mtarajiwa -Mcha Mungu -Umri 27-36 yrs ol...
12 Reactions
112 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Hii ni likizo time kwa watoto wetu so tuchunge kauli zetu humu jukwaani msijejikuta mna date na mabinti zenu mkaumbuana baada ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…