Habari za jumapili na poleni na majukumu ya kila siku.
Bila kupoteza muda nina rafiki yangu wa kike tulipotezana muda mrefu sana. Sasa hivi karibuni tumekutana tena yeye tayari ameshaolewa na ana...
Nyoka hata umpe dumu la maziwa atabaki kua na sumu tu,ndivyo alivyo mwanaume asietambua wala kujali THAMANI ya mwanamke...huyo hata umpe bikra bado atatafuta mwenye RAMBO kama sio fuko la Nazi...
husika na kichwa cha habari hapo juu
nmeona niànzishe hii ratiba mpya ili kuongeza ufanisi kwenye sekta ya kutongoza maana naona naona kuna muda inakua ni mtihani kumtokea demu yeyote yule kwa...
Wakuu habari,
Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.
Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.
Tujadili kwa undani...
Kuna umri ukifika kina Dada wanatia huruma kanisani ..jumapili hawakosi. Mbaya zaidi hata kwao wazazi wao huwavunja moyo...
Wanaanzwa kuambiwa maneno mabaya na wazazi wao.. Hivi wewe una nuksi...
Asalaam....
Kila binadamu ana misimamo yake. Kuna hili la baadhi ya wanawake kukataa kubadilisha majina yao na kujiita majina ya Waume zao.
mfano unaitwa Khatwe Masumbuko. nikikuoa unakuwa...
Tumezaliwa wa nne katika familia moja wazazi wametulea katika maadili ambao kwa upande wao wameona yanatufaa katika huu ulimwengu, bila ya kuonyesha chembechembe au aina yoyote ya upendeleo kwa...
Leo sitaki hata kuchangia sana kwani nimelala na hasira na nimeamka pia na hasira tena Kali mno kutokana na ' Upopoma ' uliotukuka nilioushuhudia Usiku wa kuamkia leo. Niseme tu kwamba naomba...
Life is not fair only death is fair. Imagine kila unachofanya kinaleta mrejesho hasi, everyone say never give up unakubali unaamka unaanza hustling zako tena lakini changamoto unazokutana nazo...
1. Financial Discipline | Sio tarehe 3 tu ela ishaisha unakopa.mtoto wa kiume unadaiwa kila nyumba na bar zote tareh za mwanzo tu huo ni umama,acha umama
2. Be Responsible | Get someone to depend...
Baada ya kuwa naye faragha na mie kumaliza mambo yangu akaniambia mwenzio nilikuwa na X wangu ambaye halali. Alikuwa anashughulika paka paka panawaka moto ila wewe unanichukulia kama ndugu yako...
Jamani mi naomba ushauri, nataka nimuumize huyu mwanamke maana
haeleweki kwao walianza kwa kunipangia tarehe ya kuoa wao, nikawa mbogo lakini nikasema kwakuwa wamesogeza mwaka mmoja ngoja nivute...
Hili sijawahi kulielewa utasikia watu husema kwa mfano huyu anajilengesha we mwache nitamgonga mpaka ashike adabu, au siku ukinipa utanikoma yaani hapo anawambia demu.
Ukiwasikiliza wakiongea...
Habar zenu wanajamvi?
Nichukue fursa hii kuwapongeza wakurugenz wa Jf kwa juhudi zao mpka sasa tuko hewani tena hakika mnastail pongezi
Baada ya pongezi na shukuran niende kwenye mada!
Kiukweli...
Hapa inabidi utumie technique namba 3 kipengele c toka kitabu changu cha The only technical guide ,kwanza tukubaliane hawa viumbe huwa unapomtongoza hawapendi hata kidogo ulete viubabe vya kiume...
Heshima kwenu wakuu,
Naomba niwashirikishe hiki kitu. Wanasema kwamba nyama ni ileile ila mabucha tofauti. Ukweli ni nyama ni tofauti na mabucha ni tofauti.
Wanake wembamba watamu sana, halafu...
Kati ya 100% ya wanawake ni 15% tu ndio hujua wajibu wa ndoa zao ni wajibu wa nini maana ya kuitwa mke wa mtu. Lakini hii 85% hawa wote hujua ili kuwa mke wa mtu lazima utimize haja za kimwili kwa...
Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.