Wimbi la wadada wa sasa kuzaa bila kuolewa chanzo ni nini?

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,759
Wakuu habari,

Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.

Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.

Tujadili kwa undani...

Je chanzo cha haya yote ni nini?

Kwanini wadada hawaolewi?

Doncute
 
bb32856d-593f-4cd2-8b2b-8ecafc0eb524.jpg

Tumeambiwa tuzaliane
 
Wakuu habari,

Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.

Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.

Tujadili kwa undani...

Je chanzo cha haya yote ni nini?

Kwanini wadada hawaolewi?

Doncute
Ukichunguza sana kama ana umri mdogo huwa ni bahati mbaya ila kama umri umeenda kiasi huwa ni sababu kakosa wa kumwoa hivyo huamua kuzaa ili kuondoa aibu kwake ili aonekane nae kazaa
 
Wanaume wanaogopa kuoa wajane, unakutana na mwanamke amemaliza degree, toka yupo form one ana fanya mapenzi na kutoa mimba na kubadiri mahusiano, huyo ataolewa kweli? Acha azalie home tu, maana huyo sio binti n mjane
Ila wengi wasomi wanawake nimeona wengi hawana watoto na wengine wanalea watoto za dada zao au wadogo zao sijui shida ni nini kwa nini hawazai na umri unakuta ushasogea kiasi
 
Wakuu habari,

Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.

Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.

Tujadili kwa undani...

Je chanzo cha haya yote ni nini?

Kwanini wadada hawaolewi?

Doncute
wazaramo wamezidi kwa tabia hiyo
 
Wanaume wanaogopa kuoa wajane, unakutana na mwanamke amemaliza degree, toka yupo form one ana fanya mapenzi na kutoa mimba na kubadiri mahusiano, huyo ataolewa kweli? Acha azalie home tu, maana huyo sio binti n mjane
Mjane tena...aisee!
 
wanadhani kwa kulengesha mimba ndo tutaoa, wakati tumeshashtuka huo mtego na hiyo trend imepita, kwahyo wawe wabunifu...waje na mbinu mpya
 
Hata mimi sijui,nadhani baadhi yao wamo humu,ngoja waje tusikie watasemaje..
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom