Hebu tujadili mjadala huu bila kuegemea upande wako

Hebu tujadili mjadala huu bila kuegemea upande wako

prosperjuma

Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
80
Reaction score
30
Kati ya wanawake na wanaume ni kundi lipi linaloongoza kwa usaliti katika mahusiano ya kimapenzi???
 
wanaume kwa kuwa kipindi tupo na mimba hatuchepuki wakati ninyi mpo bussy... na hata tulkiwa na watoto tunalea huwa hatuchepuki..... nyie mda wote
 
jamaa wa england wana kidomo domo ndo maana wametolewa.
 
uongo zambi ni wanaume. had wenyewe wanajisifia eti kuchepuka ndio habari ya mujini
 
hili kombe la dunia mwaka huu hata halitabiliki yani, kweli tunaimisi sana Tanzania nayo ingekuwepo kwenye 16 bora.
 
uongo zambi ni wanaume. had wenyewe wanajisifia eti kuchepuka ndio habari ya mujini

Pia kuna wengine wanajitaftiaga shida tu waache wenye nazo wachepuke we vijisenti vyako vya kurahisisha maisha ya familia unafuata mkumboo
 
Kuku na yai hapo..... na nyani always haoni makalio yake ila anaona ya mwenzie....
ME anaona KE ndo wanaongoza kwa kusaliti (wake za watu kuliwa na kufumwa)
KE anaona ME ndo wanaongoza coz hawakai njia kuu (michepuko)...
logically sipati jibu ila anayeongea sana kati ya ME na KE ndo atashinda hapo......
 
Kati ya wanawake na wanaume ni kundi lipi linaloongoza kwa usaliti katika mahusiano ya kimapenzi???

Wote sawa 50/50 !

Kwani wanaume wanachepuka na nani? Michepuko ina involve mwanaume na mwanamke. Huyu kachepuka kwa mkewe/girl friend na yule kwa mumewe/boy friend. Kuna mtu huku JF alisema njia yako kuu ndio mchepuko wa mwenzio!!
 
Back
Top Bottom