Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,440
- 12,165
Habar zenu wanajamvi?
Nichukue fursa hii kuwapongeza wakurugenz wa Jf kwa juhudi zao mpka sasa tuko hewani tena hakika mnastail pongezi
Baada ya pongezi na shukuran niende kwenye mada!
Kiukweli kauli anazotoa Rozi Nungu leo baada ya mwanae kufa hasa hiz za kisema alifunga ndoa na peter akiwa na mimba ya Dikson ni kauli ambayo inamuumiza sanaa Peter!
Binafsi ninamjua kaka peter kwa kipindi kirefu akiwa na Rozi Nungu kama mke na mme!
Ninawajua watu hawa kiundani kidgo nakumbuka mwaume alivuokuwa akipambana walau huyu binti aweze kutulia lakini Peter muda mwingi aligonga mwamba kwa sababu binti alikuwa bado kijana!
Leo hii Rozi Nungu anasema mtoto ni Casto mimi binafsi nmekuwa nikimsikia Roz Nungu akimuita peter Baba P.
Nilimskkia mara nyingi kwa sababu ROze Nungu kama anavyojulikana kwa jina Munalove aliwai kuwa mteja wangu Benki alikopa na kushindwa kulipa ndgu Peter nakumbuka alipambana na mkopo huo ambao waliweka dhamana nyumba ya mwananyamala na kuulipa mkopo wote.
Tulikuwa tukimfata ROzi Nungu anatuelekeza tumfate baba P leo hii anatoa kauli hizi?
Sasa niwaombe ili liwe funzo kwenu nyie vijana ambao siku hizi mnatia mimba na ndo mfunge ndoa wewe unajua unafunga ndoa na mke ambae anamimba yako kumbe ya mwenzako!.