figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,178
- 64,555
Heshima kwenu wakuu,
Naomba niwashirikishe hiki kitu. Wanasema kwamba nyama ni ileile ila mabucha tofauti. Ukweli ni nyama ni tofauti na mabucha ni tofauti.
Wanake wembamba watamu sana, halafu umpate mwenye matege, utampenda akianza kuchuma mboga.
Wasicha wembamba wapo juu, tatizo lao ni fujo, ugomvi na ukorofi. Nlikua na Kipenzi changu mahabuba asali wa moyo, nikamuacha sababu ya fujo. Nikajitulizia akili kwa bonge ambaye ukimuudhi anaishia kulia mambo yanaisha. Yaani kama hutaki stress au unataka kutuliza akili kwenya maswala ya mapenzi, tafuta mwanamke bonge.. Miss bantu. Utakula raha ya dunia. Japo nao wana mapungufu yao hasa ukimpata mtu asiyependa usafi. Asilimia kubwa ni wavivu wanapenda kusinzia na anaweza kukupa mashine unakuja kumaliza unakuta kashasinzia.. Hahahaaa...!!
Lakini kama unataka wa kukuchangamsha akili na kukufundisha jinsi ya kuishi na mwanamke tafuta mwanamke mwembamba, ndo utajua kwanini biblia ilisema ishi na mwanamke kwa akili.
Pamoja na yote nimemiss pendi na mwanamke mwembamba. Wananitoa udenda.
Shikamoni mamiss.. Mwaahh..!!