Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, natafuta mke wakuoa nitakaye ishi naye kwa furaha kwani ndiye atakua chaguo langu. Awe tayari kupima HIV, asiwe mlevi, mcha Mungu, awe na mapenzi ya dhati, asiwe na mtoto, umri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vijana wengi hata watu wazima walipo kwenye ndoa na wasiokuwemo, wamekuwa ni victims wa mastabartion/ kijichua wake kwa waume. Ni mda gani hasa watu hushawishika kujichua: Kwanza ni wakati...
5 Reactions
80 Replies
8K Views
Wakuu kila nikitongoza nimekuwa nikipigwa vibuti (nakataliwa) na mabinti sijui tatizo ni lipi? nina poor approach kwa mademu? au ni ni ni yaani hadi naogopa kutongoza kwa sababu ya kuogopa kupigwa...
0 Reactions
181 Replies
22K Views
Wanaume tuliojikombia kifikra tumekuwa tukitoa hii elimu miaka na miaka humu lakini mijitu wala haielewi. Mwanamke hakopeshwi, ukimkopa hata kulipa kamwe. Akisema anataka umkope au akisema...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Utoto kazi sana, utotoni mwangu nilipokuwa namuona baba akimpiga mama nilikuwa najiskia vibaya sana tena nilikuwa namchukia sana baba kwa kumpiga mama kwani nilikuwa naona ni kama anamuonea. Siku...
14 Reactions
118 Replies
9K Views
Bujibuji njoo huku Asprin ametoka kidogo. Chukua bodaboda wahi nina neno la kukuambia.
12 Reactions
138 Replies
7K Views
Nikihusianisha kesi ya bi Muna love,aliyekuwa mumewe wa ndoa bwana Peter na Aliyekuwa mchepuko mtakatifu bwana Casto, Mtoto amezaliwa ndani ya ndoa takatifu lkin baada ya muda anapewa...
2 Reactions
95 Replies
9K Views
Wakuu za mida, Jamani nililiyiyasikia leo huko kwa daladala nilijikuta natega sukio japo umbea sipendi...ila ni suna kwa mwanamke. Sasa bwana kulikuwa kumekaa wakaka wawili nyuma yangu...
9 Reactions
217 Replies
20K Views
Kama unataka kupiga vigelegele, jihakikishie usalama kwa kutambua harufu ya unayetaka kumzamia. Inaweza kuwa mbaya, ya kuridhisha au nzuri. Kwahiyo mkiwa mjengoni mkumbatie, mkiwa mnaendelea...
7 Reactions
91 Replies
12K Views
Habari wapendwa wangu wa jf za siku mbili tatu. kama ilivyo ada sasa ni hivi jana nilikutana na gf wangu wa zamani tukawa tunapiga stori mbalimbali, tulikuwa tumekoleza kweli kweli nikafikia...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
1) Kuna mwanamke ambaye akikasirika huishia kulia tu 2) Lakini mwingine akichukia huongea sana muda wote mpaka ikukere 3) Mwanamke mwingine akikasirika ananuna, haongei, mtapishana kimya kimya...
16 Reactions
167 Replies
19K Views
Naomba tu msome na mtafakari hii kitu..nadhani wapo wangu saba wananisubili...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakifa watoto wa ndugu zenu hampost, wakifa watoto wa wenzenu mnapost ila awe star'. Akifa mtoto wako utampost wewe tu hakuna atakae shuhulika. Sasa ni nin hii? Kila mtu a play party yake tuache...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Haki za wanaume ziko wapi?! Anachofanyiwa Mr Peter Zacharia ni unyama. Ameoa mwanamke kwa ndoa halali, wamepata mtoto, amemuhudumia mtoto kila kitu shule, afya,chakula na malazi, kisha mwanamke...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ipi siku sahihi kwa mwanamke kupata mimba?
2 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wakuu mwambie uliyenae kwenye mahusiano kama ni mpenzi/mchumba/mke sema chochote unachojiskia ujumbe utamfikia tu kwa namna yoyote binafsi Nakupenda sana honey wangu I will handle you to...
0 Reactions
160 Replies
11K Views
Hi, natafuta rafiki wa kike umri kuanzia 24-37,sina ubaguzi wa elimu, dini, kabila,msomi hata ambaye simsomi yeyote anakaribishwa. Awe ni mtu anaye jituma katika kupambana na umasikini Aliye tyr...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kuwa na mahusiano na binti mmoja ingawa kipindi hicho nilikuwa nina mke wangu Katika kudate kwetu nilimuweka wazi, kuwa ingawa tupo kwenye mahusiano ila ujue nina...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari za jioni hii? Natumai mko poa na mnaendelea na majukumu yenu katika maisha. Nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata kigugumizi cha nafsi, akili na moyo. Ni hivi leo jioni hii...
6 Reactions
212 Replies
42K Views
Back
Top Bottom