Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Kuna Dada huwa namfukuzia,Leo ameniomba nimtoa lunch hotel ,nikamwambia poa twende

Tumefika pale nikamwambia mhudumu msikilize huyu
Mdada kaagiza niletee hiki,hiki,hiki,na kile, nami nikaagiza chakula changu simple tu

Baada ya kumaliza kula bill iliyokuja ni elf 28, Sasa cha kushangaza ,pamoja na chakula kile chote alichoagiza huyo mdada hata robo hakula, amedonoa donoa,amekiacha kipo vile vile,kinywaji amepiga pafu moja tu

Nimelipa ila shingo upande,hiyo hela imeniuma sana,nawaza nirudi pale hotelin niwambie nitunzie hicho chakula jioni nakuja kukichukua,

Na kwa nini nyie akina dada uaigeze chakula ambacho huwez kula ukamaliza? Au hajui hela ni ngumu kuipata?

Sasa tutaogopa kuwatoa lunch
 
Miss Natafuta akiwa peke yake huwa anakula pilau kisado kizima ila kwenye ishu za kutoka out huwa anakula vijiko viwili tu!!
 
Miss Natafuta akiwa peke yake huwa anakula pilau kisado kizima ila kwenye ishu za kutoka out huwa anakula vijiko viwili tu!!
Kama upo hapa vile nimeshiba balaa
IMG_20180708_150218.jpg
 
We jamaa unatokea mkoa gani? nikipata mtoto wa kike awaepuke wanaume wa mkoa wako.
 
USIHOF UTALIPIZA KWENYE MSHINE KUMBUSHE NAKUADHIBU KWA UHARIBIFU ILI ASIRUDIE TENA SIKU NYINGINE
 
Mkuu hao huwa wanazuga tu,ukimfuma peke yake unakuta anakula ugali mkubwa balaa,mtoto haruki!
Hakika mkuu..haiwezekani mtu ushindwe kumaliza kiwali kilichopimwa kwenye kijibakuli kidogo,ambacho hicho chakula hata mtoto wa darasa ya pili hashibi
 
Mweee muwe mnachukua mademu wa level zenu mademu wa ivo watawatoa jasho
 
Back
Top Bottom