Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna wanawake wengine ni mashetani,hata kama unatembea na mme wake ndo ufanye hivyo jamani Dada angu anapitia wakati mgumu anahitaji ushauri baada ya kushika sim ya Mme wake wakati ameacha chaji...
2 Reactions
161 Replies
13K Views
Ya Kikristo Anna Janeth Brenda Lucy Grace Catherine Elizabeth Ya Kiislamu Asha Khadija Rahma Zaynab Zuhura Nuru Amina Nje ya majina tajwa hapo juu ' Ukioa ' tu wenye majina mengine jua umeona...
4 Reactions
134 Replies
26K Views
Wakuu, Heshima yenu sana, Kuna msichana nilianza kumtongoza tangu mwezi wa 4 mwaka huu, hadi sasa tunakaribia kufunga Mwaka HOOOLA, Miezi ya katikati alikuwa mara aonyeshe mwelekeo wa kukubali...
2 Reactions
260 Replies
21K Views
Wadau habali za majukumu nimewaletea Uzi huu ukiwa Kama ulivo ni ushuhuda WA kweli kabisa. Nimekaa nao Kama siri lakini roho yangu imeshindwa kuamini Kama ni Mimi niliye mtendea ukatili mpenzi...
2 Reactions
117 Replies
11K Views
Maadili ya kiafrika yanatuelekeza kutochangia chumba na watoto wetu wakati wa kulala hususani usiku ambapo mambo mengi na maongezi ya kifamilia kati ya baba na mama hufanyika. Maongezi ya baba na...
1 Reactions
144 Replies
50K Views
Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
habarini wana JF natafuta mpenzi amabaye atakuja kuwa mke mbeleni, awe tayari kupima ukimwi, awe black au weupe asilia na si wakununua dukani, awe chini ya miaka 30, awe na elimu mwisho ya form...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mwanamke tunafanya nae kazi,ni rafiki yangu sana,na huwa tunapiga stori mbalimbali,na hata zile stori za kikubwa maana tumekuwa marafiki kazini mpaka tumezoea kila kitu Na huyu mwanamke...
10 Reactions
151 Replies
13K Views
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume kukutambulisha kwao na kujitambulisha kwenu. Wanawake wengi wanapotaka kuishi na wanaume ambao hawajafunga ndoa nao au wamezaa nao wana kitu wanakuambia “Njoo...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Shost yangu tulimaliza nae kidato cha nne, yeye alikuwa wale ma sister do wa town. Tuko boarding lakini siku ya school disco hawa madada sijui walitoa wapi make up wakati wengine urembo ukikuwa...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wakuu Natumaini mko poa, ningependa tushirikishane jambo/hali ambayo imekua kikwazo kwang kwa muda mrefu, kama kijana suala la mahusiano ya kimapenzi alikwepeki nimekua kila nikitongoza...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna msemo unasema with age comes wisdom but sometimes age comes alone. Lakini utafiti wa hivi karbuni unasema age comes with wisdom. Huu mwaka nimeingia 30 years old, soon naaza 31. Mambo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
kipindi cha nyuma nilikua kwenye mahusiano ambayo yalikua motomoto sana ila yalikuja kugeuka na kua machungu sana ,maana yalikuja sababisha tukaachana tena aliniacha kwa kisa kikali. saizi naona...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Kwanza kabisa nianze kwa shukrani za dhati kwa wale walionishauri kwa kina na kunijulia hali na maendeleo yangu japo nilichelewa kujibu ila ushauri wenu niliufanyia kazi. Pia niwashukuru...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa sasa hivi wanaume wengi ndoto zetu sote ni Mungu kitujalia ...kupata wanawake wenye Folder za maana kwa nyuma ...lakin ndo ivyo ..wanawake wenye Chura kuwapata sasa hivi mpaka uwe na Dow maana...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Poleni kwa mapumziko Niende kwenye Mada husika direct. Please naomba ieleweke uzi huu haujakusudia kuonyesha shambulio la haibu, ila it's just my opinion. Kama wasemavyo wahenga "uzuri wa...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Mi binafsi kila siku lazma nitongoze/kuomba contact walau mwanawake mmoja au wawili ili kuchangamsha afya ya akili na kuifanya simu isiote kutu,haijalishi kama watakubali ama kukataa but...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Hellow wadau, Huku mtaani kwetu ucku wa kuamkia leo kumetokea kisa ambacho kimenipa msukumo wa kuomba nipate mawazo yenu! Kuna njemba mmoja imelazimika kukimbia na kwenda kusikojulikana...
1 Reactions
62 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…