Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilimpata mpenzi mwaka 2016 mwezi wa 4. Binti ana miaka 23, mzuri ameumbika haswaaa. Yaani shape, rangi ya ngozi, macho, sura na miguu ametengenezwa haswaa. Unaweza dhani wakati anatengenezwa...
27 Reactions
132 Replies
12K Views
USIILIE KIAPO TABIA YAKO, NI HATARI SANA! KAMWE usithubutu kuapa kutofanya jambo fulani wakati ni tabia yako. Apa kwa kile ambacho unajua kimetokea tu, hivyo unaweza kujiapiza kutorudia na kweli...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ama kweli vijana tuliozaliwa miaka ya 90s tuna gundu hasa warembo na mabebez jamani khaaa! Enzi hizo bado binti mchuchu nakumbuka nilkuwa naona wadada wakihongwa magari ,nyumba,na kufunguliwa...
7 Reactions
191 Replies
9K Views
Habarizenu wana jamvi twende moja kwa moja kwenye mada husika Kumekuwa na tatizo kubwa kwa baadhi yetu au jamaa zetu kuto kupata Mtoto ( Watoto) na wamefanya jitihada nyingi bila mafanikio, wapo...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nimekuja mbele yenu wajuvi wa mambo ili kujuzwa mambo muhimu kuzingatia kabla sijaingia katika ndoa hivi karibuni. Mimi huwa naabudu dhehebu la Roman Catholic. Lakini kiukweli...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
NAENDA KUOA PEMBA. Naenda kuoa Pemba, msichana wa Kojani Yule anaejipamba, kwa mitandio kitwani Aongea kwa kutamba, na lafudhi ya kipwani Naenda kuoa Pemba, alo na njema tabia. Kojani nikimkosa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nipeni tafsiri yake..
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani nikiona Agness amefariki akiwa mdogo nasikitika kiukweli,vifo vya vijana wadogo vinauma sana ,nikiona mwanae naumia kaachwa hana hata kaka au dada yake ,nikifikiria na mimi mtoto wangu yupo...
5 Reactions
151 Replies
9K Views
Ladies and gentlemen Hope mko fine Jmosi hii tulivu Naandika toka mji tulivu na safi kabisa wa Manispaa ya Moshi. Mimi si mwenyeji wa mkoa huu ila katika harakati za maisha, najikuta...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wakati nakuwa kitaani kwetu ilikuwa ni kawaida kwa Wanaume kugombania Mwanamke, walikuwa wanapigana ngumi kabisa mpaka kuumizana. Nilivyokuwa nilipo sasa hivi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nafaham wengi wenu mliwahi kuona uzi wangu wenye mada iliyopo hapo juu. Ishu ni kwamba yule mwanamke bado amekaa siku nenda siku rudi kaamua kurudi tena lakini mimi bado msimamo wangu ni ule ule...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za humu wana jamvi, moja kwa moja niende kwenye maada. Kama kichwa cha habari kinavyo, jieleza, soma kisha nipe msaada wako nimekuwa mtu ambaye sielewi kwanini nakuwa hivi hususani...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kiukweli mitandao ya kijamii imetukutanisha wengi na inasaidia sana kufahamiana pamoja na mambo mengine Lakini kwangu mimi kila binti niliyefahamiana naye kupitia mitandao ya kijamii au simu za...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
MAISHA YANA VITU 7; 1:- Furaha. 2:- Karaha. 3:- Misukosuko. 4:- Majonzi. 5:- Migogoro. 6:- Mikasa. 7:- Chuki. Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa...
0 Reactions
5 Replies
999 Views
Nabadili strategy. Nimeoana kuwa serious sana haisaidii. Sasa ni mwendo wa full - maraha!! Ninatafuta binti anayetaka kuwa na mahusiano na mwanamume. mahusiano hayo yanaweza kuishia katika ndoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwema ndugu zangu.. juzi mpenzi wangu kanitembelea gheto nikaona ngoja tujisogeze kwenye pub flan hivi tupate walau mbili tatu..sa kwenye Ile pub kuna bar maids kibao nimezoeana nao..basi tukawa...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
1. Nitakuangalia machoni mara kwa mara na kukuhakishia mapenzi niliyonayo juu yako. 2. Nitaendelea Kukupenda na kukujali kwa kila hali na kukuhakikishia unalo bega langu la kuinamia. 3...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu na wadau wote wa MMU. kama wapaitavyo wenyewe "Tabata kwa wala bata" ni kweli especial kipindi hiki cha vyuma na girisi, kwa hapa Dsm kwa sasa ndio sehemu cheap ya kula kuku na...
12 Reactions
86 Replies
23K Views
Nina mwanamke nliezaa nae mtoto mmoja Tatizo ni Moja tukiwa karibu yani nikimtembeleaga mkoa anaofanyia kazi anakua msikivu,adabu na anajua kucare Nikiwa mbali nae ni mikwaruzano,nikimpigia...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wana JF naomba niwape hiki kisa cha kweli...ili na wengine wajifunze...! Kisa hiki: Niliopoa binti mmoja akiwa tu kamliza form six nikavuta ndani kabla hata matokeo kutoka.....matokeo kutoka...
5 Reactions
75 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…