Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,462
Nimekuwa katika mijadala na wadada mara kadhaa, nawambia kuoa na kuolewa kunamaana sana kujua kwamba ukioa unamiliki na ukiewa unamilikiwa, hivyo usipojua maana ya haya maneno utapata tabu sana. Maana ugomvi utakuwa hauishi