ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,656
Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya waaume wengine watatu) waliniambia pia tatizo hili.
Mwenzangu kama vp tafuta dawa, wanaume wenyewe wa siku hizi, nenda hata kwa wachina wana dawa (huu ulikuwa ushauri wa rafiki yake wa kike).
Hayo maneno sio yangu, ni ya mashostito, mmoja alikuwa akimsimulia mwenzake mabadiliko anayoambiwa kuwa nayo. Hii ilitokea baada ya kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine anbaye kadiri ya simulizi yake inaonekana jamaa alikuwa ana kitendea kazi kikubwa hali iliyopelekea kumletea mabadiliko katika quality ya maumbile yake.