Hata msipokubari huu ndo ukweli

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Ni kujinyima na kujitesa Sana mwanaume kuamua kuwa na demu au Mke mmoja kwenye dunia hii yenye warembo Wengi wenye sifa mbalimbali .
 
Hilo haliwezekani tokea enzi za mababu kidume unakula mwanamke unaemhitaji
 
Bwana wanawake wengi huleta umaskini labda useme kumega sehemu zingine hakuepukiki
 
Unakua na mwanamke mmoja unayempenda na kumjali,lakini kuchepuka mara moja moja,hakukwepeki!
 
Back
Top Bottom