Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Asee siwezi kufika mbali sana ila kiukweli siku hizi siyo kama zamani kwamba mapenzi matamu yanapatikana Tanga pekee,
Katika pita pita zangu nimepita na wengi lakini nimejaliwa kupita na Sample 3 za watoto wa kitanga,
Dhumuni siyo kutest mitambo hapana ila ni kujiridhisha kale ka msemo ka mapenzi Tanga kwingine geresha,
Si haba kweli mabinti wale wa kitanga walifunika wote niliopita nao kabla na ndipo nikavika cheo kwa mabinti wote wa kitanga.
Sikuishia hapo mwisho nikanasa kwa mtoto mmoja wa Kichanga aseeee yerewuuuu hivi wale wanosemaga mabinti wa kichaga viuno vigumu kama chuma ni kina nani?
Nawataka hapa leo yule mtoto alikuwa ni Motroooo yaani ukiingiza Tamu ukitoa Tamuuu .
Nilikuwa na mashaka kwa kweli sana sana ile misemo niliyokuwa naisikia kuhusu hawa mabinti wa kichaga na kile nilichokiona ni tofauti kabisa mtoto alikuwa motrooooo kwa kweli
Hivyo nategemea niwekeze hapo asee kwa shemeji yenu mpya wa kichagaaa kanichanganya kabisaa.
_Jf Mtawangu.