Akhaaaa babu! Mwanaume gani kila akifikia mshindo lazima ajambe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akhaaaa babu! Mwanaume gani kila akifikia mshindo lazima ajambe!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Sep 14, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mtakaonisema kivyenu! Hii maneno ilikuwa kati ya mashostito wawili walokuwa
  wakiongea 'girly stories' zao na kama kawa sikio langu nikalitegeshea usawa
  na uelekeo wa maongezi yao. Ni kama walipotezana siku nyingi na baada ya kukumbatiana
  angalia maongezi yao!

  Dada A: Mwamwamwaaaaa! Za siku mwaya!
  Dada B: Safi, niambie bidada, ulipotelea wapi, siku zote hizo?
  Bada A: maisha mwnezangu..........arusha, tanga, dsm kote huko ni kuhangaika tu ila nashukuru Mungu sasa nimetulia mwaya.
  Dada B: Usiniambie shemeji.....(akataja jina la huyo mwanaume) mwenzangu.
  Dada A: Tobaaaaaaaa! Mwenzangu, pale nilijishikiza tu, shosti nilimvumilia kweli ....(akataja jina huyo bf wake wa zamani).
  Dada B: Usiniambie mlimwagana jamani ....(akataja jina la shostito waliokuwa wakiongea naye). Ila mwenzangu mi nisingeweza, alikuwa na limwili likubwa kweli.....then akaangua kicheko.............!
  Dada A: Akhaaaaa mwenzangu! Si heri ya hata hilo umbo mtu kwa dhiki zangu ningeweza hata kumvumilia. Mwanaume gani kwanza limwili likubwaaa, linene halafu kila anapo-pease basi lazima ajambe. Yaani mnamaliza kupeana raha, mwenzangu unaanza kazi ya kujipepelea harufu ya ushuzi. Yalinishinda babu, mbona nilimwaga. Mwenzangu li mwili lile ningempeleka wapi yule. Ila mhhhhhhhh, amenisaidia kweli ningeumbuka mjini mwenzangu!

  Ukweli hata mimi nilishindwa kuvumilia ikabidi nicheke tu na wote watatu tukajikuta tunacheka.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  nilikumiss Ndyoko
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  jf is never boring.....
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hii mpya..
  niliwahi sikia kupumua kwa mdomo wa nyuma ni afya......
   
 5. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Heh! Kazi kweli kweli..
   
 6. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I like JF
   
 7. N

  Neylu JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaaa....... Jamani jamani, sina mbavu mie...
   
 8. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  teh te teh teh,atakuwa bwabwa huyo!!!!
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha!!Ndio mambo ya sehemu zote za mwili kurelax!!!
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  vibamia utawajua tu, wanapenda kweli kuwasema wenye mihogo ya jang'ombe....kama wewe ni kibamia ni kibamia tu....kila mtu na maumbile yake bwana..
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  usiombe ukakutana na hii
  hata kama ni handsome kama Brad Pitt na ana hela kama Barclays Bank

  hutarudia for good.

   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  eti mwili mkubwa dah.............
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nashukru hiyo sijawahi kukutana nayo..

  vipi em tumwagie ma experience hapa ni mbaya kiasi gani??
   
 14. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahaha! siwezi kumisi kusoma thread ya ndyoko!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  eeh aisee, hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa,

  imenikumbusha juzi kati tu nilikuwa nastorisha na shost wangu flan hvi...
  Cjui hata hii ilianzia wapi ila akaniambia kuna mwenzao mmoja kwa ofice wanamuita mbuuuuuu....pwaaaaaaaaaaa,
  yaan alisimulia kuwa jamaa yake lazima apumue kwanza ndio akojoe....lol, nilicheka hadi leo nakumbuka hilo neno mbuuuuu......pwaaaaaaaaaa, dah
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ni zaidi ya kija.bo cha kukata roho.

  Akchwali ni human body made nuclear bomb.

   
 17. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mdada m1 alikw best yangu sana.. Alikuwa na buzi lake flani anafanya kazi pale pa kodi pale. Mshkaji yuko njema anamlea vizuri best yangu gari enzi hizo RvR ndo habari ya wadada wa town kampanjishia mikocheni mitaa ya fiesta pale walevi wenzangu watakuwa wanapajua 2 fully furnished nn.. Kifupi SAFI yaaani. Kuna siku bibie alikuwa na shoga zake wenyewe wanaita girls talk kwa kuna kuna issue ya pesa m1 wao nilifanya nae biashara nkawa pale kusubiria changu. Bibie akafunguka 'mmmh yan shoga haka kabwana kuni*** kote huku hata mimba mmmmh jamaume gani shaha*wa nyepesiii' Ilibidi niseme naenda kununua vocha nje baada pa kukosa kuweka uso wangu kama mwanaume. Sitaisahau hiyo k2 aisee

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 18. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Girls Talk eti....
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Nimejikuta nacheka kwa sauti. Kweli JF mwanzo mwisho...
   
 20. Mgjd

  Mgjd JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jamaa yangu yeye akifika kilele tu,anapiga chafya nyingi mfululizo haraka haraka,hadi utamuonea huruma.
   
Loading...