Habari wakuu!
Wahenga wanasema "bora ukosee kujenga nyumba kuliko ukosee kuoa",wachamungu husema"Ndoa ya wenza wawili wanaopendana kweli ni nusu ya peponi hapa Duniani",Maneno haya yana maana...
Hello
Kama nijuavyo kwenye wengi kuna mengi pia, naomba kufahamishwa ni jinsi gani utagundua km umepata chaguo sahihi la moyo wako?
Karibuni wapendwa michango yenu ni muhimu ili kupata elimu...
Najisika kuwa na nguvu ya kuwapa dada zangu ukweli ili uweze kuwavusha inawezekana ...umeomba sana lakini nguvu ya kufanya maamuzi haipo ndani yako pasipo... Kuwa na nguvu ya kuamua..
Umepata...
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na...
Mu wazima waungwana???
Hii in hatari! Yaani hapa ninapo andika ujumbe huu nimetoka kuharibiana siku na mpenzi wangu.
Na hii kumbe in tabia ya wanawake wote warembo kwa 90%, maana huyu nilie...
Hili swali napenda sana kuwauliza wanawake sababu napenda majibu yao mengi yanafurahisha sana.
Swali ni hili, unafikiri kama ungekua mwanaume ni kitu gani ungefanya au ungewafanyia wanawake...
JIFUNZE KUMUACHA AENDE
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha...
I know how it is difficult to let it go... No better words to explain this.. Lakini je ni sahihi kuumia kwa mtu asiye na hisia nawe!? Hapana...!!! Kubali Maumivu ya sasa ili uiponye nafsi kuliko...
Amani iwe Pamoja Nanyi WanaJF!
Kwanza Niseme ya kwamba mimi sio Mgeni,Mzoefu wa JF karibu Miaka MiTano ila Nimelazimika Kubadili ID kwa sababu za Kiusalama na Natumai tutashirikiana Kupitia Hii...
Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri au pesa ?
Vipi kuhusu wake za matajiri wanaotoka kimapenzi na masikini ?
Je mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya shoo nzuri na pumzi...
Mume na mke wanapaswa kutenga muda wa kuwa pamoja, na pia watoto wanahitaji kuwa na wazazi wao. Kwa hiyo epuka kujilinganisha na familia ambazo huwa na shughuli nyingi kila wakati.
Gary...
KUTOKA KWA MSANII JOTO LA MOTO.
SEHEMU YA KWANZA.
VYUMBA KADHAA VYA KUPANGA MAENEO YA KIJENGE JUU.
CHUMBANI KWA DINO-NJE.
Mlango unafunguka, Dino, kijana Mtanashati wa miaka 22, anatokeza kichwa...
Habari za muda huu (Mchana) ndugu zangu wa MMU poleni na majukumu ya wiki nzima... Bila kupoteza muda.......
Husika na kichwa cha habari hapo juu naona leo weekend yangu haitokuwa nzuri baada ya...
Kwa wanaume wenzangu na akina dada pia inawezekana mmewah kusikia mwanaume anasema “ aargh kidawa nimeachana naye mwizi kama nini” ni aina ile ya wanawake ambao wanatoka uswazi au basi tu wana...
_When I'm dead.....,_
_Your tears will flow,.._
_But I won't know..._
*Cry with me now instead!*
_You will send flowers,.._
_But I won't see..._
*Send them now instead!*
_You'll say words of...
Mambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.