NINA MAUMIVU MAKUBWA SANA

NINA MAUMIVU MAKUBWA SANA

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
392
Kiufupi tu,mke wangu kipenzi nimeishi nae zaidi ya miaka 5,kaamua kusikiliza wazazi wake na kufuata wanavyotaka wao,uvumilivu umenishinda imenibid kuvunja familia hii,tuna watoto wawili kila nikiwaza kutengana nao nabaki naumia sana,maamuzi niliyokua nimefikia mungu ndo anajua,nateseka sana ndugu zangu nikija kutulia nitaleta mkasa mzima hapa na wengine wenye situation ngumu mpate kujifunza chochote
 
Bwana Mabwiku ungeleta mkasa mzima ili tuweze kukushauri!
 
Kiufupi tu,mke wangu kipenzi nimeishi nae zaidi ya miaka 5,kaamua kusikiliza wazazi wake na kufuata wanavyotaka wao,uvumilivu umenishinda imenibid kuvunja familia hii,tuna watoto wawili kila nikiwaza kutengana nao nabaki naumia sana,maamuzi niliyokua nimefikia mungu ndo anajua,nateseka sana ndugu zangu nikija kutulia nitaleta mkasa mzima hapa na wengine wenye situation ngumu mpate kujifunza chochote
Pole sana...... Hizi ndoa zimekuwa shubiri...... Mungu tupatie Hekima na Ufahamu.
 
Pole Mkuu. Na siku zote ndoa ikishaingiliwa na Wakwe kwa upande wowote lazima kuwe na mawili kuijenga au kuibomoa.

Maana unakuta kama ni Mume au Mke hawezi fanya kitu hasa kinachousu familia yake bila kushirikisha wazazi wake.
 
Tuliza akili, fikiria maisha yako na watoto wako. Kutengana nae sio mwisho wa maisha.
 
Pole sana mkuu,

Kitendo cha kuweza kusema haya, ni njia moja ya kujipa faragha na kuondoa msongo wa mawazo.

Hii dunia usiwe siriazi sana. Mambo yakiharibika unajipa moyo na kusahau kuganga yajayo.

Juzi kuna jamaa yangu tumesoma nae O'level. Nae kafika hadi chuo kikuu. Lkn kutokana na msako wa ajira kwa miaka miwili hila mafanikio kaamua kujitanguliza mwenyewe mbele za haki kwa kujinyonga.

Kila mara alikuwa akilalamika ametumia nguvu nyingi kufika chuo, wazazi wake wameuza ng'ombe wakitegemea makubwa kijana wao atakapo maliza chuo.
Mwisho wa siku mambo ni tofauti kabisa, akaamua amalizane na dunia hii.

Tatizo nililoliona kwake ni kuwa siriazi na dunia.

Wkt mwingine unahitaji kujichekesha hata visivyochekesha alimradi mambo yaende. Sasa ikiwa wewe unanuna na kukasirika kila wkt pale mambo hayapo sawa, Afande Muruto anasema UTAPATA TABU SANAA!!

Nakupa tena pole Mkuu..
 
Siku zote ndoa ikishaingiliwa na Wakwe kwa upande wowote lazima kuwe na mawili kuijenga au kuibomoa.

Maana unakuta si Mume wala Mke yaani hawezi fanya kitu hasa kinachousu familia yake bila kushirikisha wazazi wake kwanza.
Na ukikubari wazazi waingilie ndoa yako umekwisha
 
Pole Mkuu. Na siku zote ndoa ikishaingiliwa na Wakwe kwa upande wowote lazima kuwe na mawili kuijenga au kuibomoa.

Maana unakuta kama ni Mume au Mke hawezi fanya kitu hasa kinachousu familia yake bila kushirikisha wazazi wake.
Mi hayo mambo ya wakwe napendaga sana yawe yale ya kawaida km vile mkwe anaumwa au mkwe anakuja kutembea, ila mkwe kutia neno kwenye ndoa lazima ndoa iende halijojo
 
Take it easy please! Maisha yana thamani Sana kuliko hayo yote! Kikubwa watoto
 
Pole sana, R.I.P marehemu, naye huyo rafiki yako hakuwaonea hata huruma wazazi
wake kuwaacha katika majonzi maamuzi mengine jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom