Mbunge azuiliwa kuingia hotelini bila cheti cha ndoa

hii nayo ije huku watu wapunguze kuwa na wake za watu mahotelini... waende ktk magheto na magari kama zamani... heshima ya ndoa iwepo
Kwan mbunge si anapanga tu chumba self anaweka kitanda kwa ajili ya shughuli zake
 
hata zanzibar kuna hili la vyeti vya ndoa kama wataka kulala ktk hotel zao na ni bibi na bwana...
But this is against privacy ya mtu, huna haki ya kujua niliye naye ni nani! Ngoja niliangalia mrengo wakisheria, let me do a bit of research on it!
 
Usikute walikuwa na mzuka na gemu balaa wangeenda za kwenye buku 7 tu za lumumba
 
Hiyo sheria ikiletwa hoteli za huku kwetu watakaoongoza kuandamana ni ma video queen na mademu wa bongo movie maana ndio wanaoongoza kuishi mahotelini na waume za watu.
 
Bila ya cheti cha ndoa juhudi gani ulifanya mama kuthibitisha?mulijaribu kutafuta mtoto mbele yao?
 
Imagine angekua yule mbunge wetu "Weka"
Mwenye sauti ya zege
[HASHTAG]#chawakota[/HASHTAG] (chama cha wasoma coment Tz)
 
Hakuzuiliwa kuingia...

Aliingia na huyo mwanaume, wakapewa mpaka chumba... wakakaa kwa muda mrefu sana ndani ya chumba, ndiyo manager wa hotel saa sita usiku akaenda kuwagongea mlango na kuulizia kama huyo aliyekua nae ndani kwa masaa yote hayo ni mume wake na cheti cha ndao kipo wapi? Na sheria za hiyo hotel ipo wazi kabisa kuhusu hilo swala...

Wakaanza kupishana maneno...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom