My-Ex | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My-Ex

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rogue, Feb 15, 2009.

 1. R

  Rogue Member

  #1
  Feb 15, 2009
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima wakuu..

  inakuaje pale umeachana na mamsapu wako kitambo na bado yuko ndotoni kama jana vile?
  nimeachana na ishu yangu miaka 4 iliyopita but bado nina filingz nae mnoo.kwasasa tuko mbali mbali,yeye yuko bongo.
  dont get me wrong i have moved on since then,but kila demu naempata i cant stop comparing to my ex.i want her back.

  so far najua hajaolewa.


  wakuu msaada tafadhali...nitalitatuaje hili tatizo?
   
 2. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  yawezekana uliachana nae kwa hasira za ujana tu
  ila bado wampenda. sasa bora mfuatilie uone kama
  na yeye anazo feelings kali kwako. kama bado na yeye
  amekuzimia na unasema bado hajaolewa bora uanze
  masuala ya baby come back.
   
 3. u

  utu wangu Member

  #3
  Feb 15, 2009
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huna ujanja kijana.nendA kapige magipo full majuto
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ..."huenda" naye hajaolewa sababu anawa compare nawe, Get her back ASAP!!!
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Heart breaking......!! hakuna kurudi nyuma
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Au umesikia EX mambo yake ni mazuri financially ndio unatafuta mbinu za kurudi?

  Maana ushasema wewe ni rogue!
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  kama unajua hajaolewa na bado unamhitaji,mtafute na umwelezee hali halisi. Express your feelings upate feedback, huenda nae anakuhitaji ila wote hamfahamu hili.

  Btw, comparing your lovers is so bad. Just know that each person you date differ in one way or another. Appreciate them in their ways!
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hakuna kitu kitamu kama 'B-C-B!' ...BABY COME BACK!...

  BTW, umbali na utengano wenu umekufanya uelewe ni kwa jinsi gani huyo Bi mrembo anakufaa kwenye maisha yako kuliko mwanamke mwingine yeyote, ndio maana tukaambiwa; 'huwezi jua thamani ya kitu/mtu mpaka umpoteze!'

  Rekindle your flames bro,... usijitafutie kufa na tai yako shingoni bureee sababu ya pride za uanaume wakati kisebu sebu na kiroho kinadundia kwake! :D
   
 9. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Miaka minne mingi! Sio mbaya kumcheck ex wako ila nenda taratibu, kuna uwezekano kwa sasa anaishi maisha tofauti na unavyoimagine. The best solution ninayoweza kukushauri ni kukubaliana na hali halisi na ku-move on. Kutegemea kuishi maisha uliyoishi miaka minne iliyopita kunaweza kukakusababishia disappointment kubwa zaidi. Its not so easy to grow up, part of which is to loose people who really matter.
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ....We are reading you Loud and Clear, Man! You did not Move On and that is why You Keep Thinking about her! Go Back and Get Down...On A Bended Knee!!!
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mapenzi ni kitu cha ajabu sana ndio maana watu wanasema ni nusu ya ukichaa.Kuna mdogo wangu wa kiume ambaye ana girlfriend wake 'on and off ' kwa miaka kumi ilopita. Utawaona kwenye mapenzi mazito baada ya muda wameachana,inapita miezi hata mwaka unawaona wamerudiana na wanapendana ajabu baada ya muda tena wameachana.Nikumuuliza anasema anamuota kila mara hata wakiachana,kajaribu ku-date wengine anashindwa,na girlfriend nae nasikia kuna muda kwao hata hali kwa kumuwaza bwana mdogo.Kwahiyo Rogue nimekuelewa.
   
 12. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Follow your heart.

  Kwanza jiulize: Unataka kuwa naye kwa mda..umalize hamu ya kimwili
  (ku--ana) then kila mtu achukue time zake au unataka uwe naye kama mwenzi wako na hatimaye umuite mama watoto na yeye akuite baba watoto? Kama jibu ni hiyo option ya pili...basi...fufua mahusiano..na kama mna pendana basi, kitaeleweka.

  Ila kama shida yako ni kula kichwa...ningekushauri umuache tuu...maana mtapotezeana mda wakati hakuna substantive issues among you people. Tafuta mdada mwingine.
   
 13. MtuSomeone

  MtuSomeone Member

  #13
  Feb 15, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  listen to your heart, go get her...NOW!!
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,101
  Trophy Points: 280
  Wasiliana naye haraka sana wala usisite kumwambia ukweli toka moyoni kwako kwamba, "I want you back, I am still in love with you." Watu wanaachana na kurudiana, wewe hutakuwa wa kwanza kufanya hivyo au wa mwisho na wala si dhambi kumrudia mkeo/mumeo.
   
 15. R

  Rogue Member

  #15
  Feb 15, 2009
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakuu...
  first of all ngoja niweke mambo uwazi zaidi ili m-weigh in hii ishu kwa uzuri..ni mimi ndo nilimtendea ubaya kwa ku-dump,thinking the "grass is greener on the otha side", ofcourse ukichangia na utoto wa akili basi nikajua demu analeta za kuleta.
  nikaanza kuwa na ishu nyingine,my ex found out and she was willimg to work things through but mimi kijogoo nikampiga chini for good.

  how wrong was i to think the grass is greener.....nimezunguka na kuzunguka,and now i know for sure she was ONE OF A KIND!!!!!!ALINIPENDA FROM HER HEART AND I LET HER GO,AND NOW IM IN PAIN UNIMAGINABLE...

  WILL SHE FORGIVE ME AFTA THIS LONG? i love her na i miss her daily
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,101
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kuwa mkweli na kutueleza nini kilichojiri hadi kuachana na kipenzi chako. Miaka minne ni mingi, lakini kama hajaolewa basi hilo la miaka minne si tatizo. Muombe samahani na kumwambia kwamba ulikuwa 'utoto wa akili' uliosababisha 'umpige chini mkeo' kwa kujua kwamba 'the grass is greener on the other side' tena naona ingekuwa vizuri ungempigia simu sasa hivi kama unajua namba yake au kuitafuta na kuanza kuomba samahani na kumuomba mrudiane kama mke na mume vinginevyo utaendelea kujilaumu for the rest of your life
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180

  Rogue, lakini nadhani kuna haja ya kuangalia practicality za huo uhusiano unaotaka kuufufua. Huyo binti umesema yuko Bongo. Wewe hujasema ulipo lakini inaonyesha uko nje ya nchi. Sasa unategemea i-work vipi?
  Mapenzi ni psychological thing, ukijitambua vizuri haiwezi kukusumbua kama inavyokusumbua sasa. Nadhani unahitaji cognitive therapy ili uwe fit kumove on na maisha yako. Hii ya kuona maisha hayaendi sawa mpaka mtu fulani awashe mshumaa siyo nzuri kwa afya ya akili yako.
   
 18. R

  Rogue Member

  #18
  Feb 15, 2009
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  hapana mkuu...nimeuelewa sana point yako.
  tatizo sio maisha hayasongi bila yeye,swala muhimu ni utambua wangu kwamba yeye ndo choice yangu maishani,i regret it took a while for me kujua this.yeye ndo napenda awe "maza hausi"..sasa kama itashindikana basi inshallah,yote anapanga Muumba.
   
 19. u

  utu wangu Member

  #19
  Feb 15, 2009
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Usiumize kichwa mheshimiwa,tusije tukakukosa.mbona simpo!nenda on BENDED KNEE.Wasiliana nae ujue upepo unapuliza wapi,.be ready for whatever!
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,101
  Trophy Points: 280
  Wasiliana naye kabla ya kukata tamaa, mwambie ukweli kama ulivyousema hapa jamvini. Si ajabu na yeye 'anakumiss' na kukumbuka kila siku kama ufanyavyo wewe..
   
Loading...